Tupeane habari za mvua ya Leo

Tupeane habari za mvua ya Leo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Tanga

Tangu jana jioni, usiku wa leo mpaka sasa mvua inanyesha. mafuriko sehemu kama zote. vimito vyote vimetema
 
Tukiwambia mje ughaibuni hamtaki shauri yenu
 
Mie maumivu fundi Maikoo aliweka paa la nyumba kimasikharaa
 
Tutumie hizi mvua kama fursa ili kuzalisha chakula cha kutosha; itakuwa vizuri kila mmoja wetu tukaenda kulima angalau ata ekari moja ili tusije kulalamika upandaji wa bei wa vyakula.
 
Back
Top Bottom