Tupeane LIKES

Barikiwa mamito.
Happy holidays babe'.
 
Reactions: Lee
Kwakweli itabidi nikuroge tu, maana hamna namna nyingine nitapita kwenye mchujo.
Basi nakuapia, haki ya nani, we hata kwenye mchujo hufiki, utapita pila kupingwa, nipo chini ya miguu yako, usiniroge😭
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo sawa, mie mzee mwenzio bwana. Hupaswi kunifanyia mambo meusi.
 
Sikufanyii mmbo meusi mzee mwenzangu, 😂🤣🤣we unapita bila kupingwa, kwanza hakuna tena mchujo, ni rasmi we umepita.. Kilichobaki tumalizie process nyingine, mahari nini, tarehe rasmi y tukio, tuwaalike ndugu kadhaa.
 
Haya ndio mambo sasa. Yaani tangu tuanze hii sasa ndio point😍😍😍😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…