Tupeane LIKES

Tupeane LIKES

Watu wajf mseme mtu vizuri na mpe like yake. Mie ninao wengi nawapa team yote ya JamiiForums heri ya mwaka mpya kuanzia director, manager na wafanyakazi wote wa JF.

ERoni , Glenn DeepPond sophy27 Cillah mzabzab Depal Lenie Extrovert Unique Flower Kelsea To yeye Love Doctor
Lovelovie Chakorii Bujibuji Simba Nyamaume @wachagaa wote.

Ujumbe mkiwa mnatoapost zenu au kulike kushare mnaleta mvuto kabisaa.
Demi you are my sunshine .na Asprin Daby .

Happy new year
Nakadori Kambi ya Fisi wote Hawa nawapa likes zangu bila kumsahau Lee dronedrake
Barikiwa mamito.
Happy holidays babe'.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwakweli itabidi nikuroge tu, maana hamna namna nyingine nitapita kwenye mchujo.
Basi nakuapia, haki ya nani, we hata kwenye mchujo hufiki, utapita pila kupingwa, nipo chini ya miguu yako, usiniroge😭
 
Basi nakuapia, haki ya nani, we hata kwenye mchujo hufiki, utapita pila kupingwa, nipo chini ya miguu yako, usiniroge😭
🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo sawa, mie mzee mwenzio bwana. Hupaswi kunifanyia mambo meusi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo sawa, mie mzee mwenzio bwana. Hupaswi kunifanyia mambo meusi.
Sikufanyii mmbo meusi mzee mwenzangu, 😂🤣🤣we unapita bila kupingwa, kwanza hakuna tena mchujo, ni rasmi we umepita.. Kilichobaki tumalizie process nyingine, mahari nini, tarehe rasmi y tukio, tuwaalike ndugu kadhaa.
 
Haya ndio mambo sasa. Yaani tangu tuanze hii sasa ndio point😍😍😍😍😍
 
Back
Top Bottom