Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Sasa mchakato mwingine unaanza lini? Safari hii ukinikata nakuroga.Hajambo namshukuru mungu kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mchakato mwingine unaanza lini? Safari hii ukinikata nakuroga.Hajambo namshukuru mungu kwa kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabisa mjumbe,
Unistiri mwenzio, isije ile kanuni ya use na disuse ikafanya NJOMBA NCHUMALI akapotea bure. [emoji23]
Kiulainiiiiiii🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha Wehu wako..
Sijakuelewa. Midoli vp tena?Heh!kwani siye midoli ??
Namwambia saivi ila nimewaza naona atasema yesMwambie anifanyie namna basi
Hovyoooo!😏😏😏Anamjua maki
Yaani midoli unakuta mahala unaichagua unaenda nayo tu bila ya kuuliza ila watakuja Kuna mtu anatafuta wa kudumu utamkubaliSijakuelewa. Midoli vp tena?
Wa pekeeKwanini wasira😂😂😂
Mie nmetoa offa kwa atakaependa. Ningejichagulia ningesema "Unique flower" njoo XYZ tule bata.Yaani midoli unakuta mahala unaichagua unaenda nayo tu bila ya kuuliza ila watakuja Kuna mtu anatafuta wa kudumu utamkubali
Aseme tu yes jamani nitamfurahiaNamwambia saivi ila nimewaza naona atasema yes
Sikukati mkuu.. Mchakato ushaanza rasmi, tuma maombi tu, iwe official tu ttujue uko serious au lah!!Sasa mchakato mwingine unaanza lini? Safari hii ukinikata nakuroga.
Kabisa mzee mwenzangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumezeeka Chaiman...
Mmmh!! Mbona ghafla sana!!😳😳😳😳😳Sikukati mkuu.. Mchakato ushaanza rasmi, tuma maombi tu, iwe official tu ttujue uko serious au lah!!
Nipo hapa nasubiri kisusio kikamilike
Huu mda wa kuwahudumia wapenzi wenu mnafanya nini hapo unasuburia uendee jf usiku wa mananeNa mimi nimekuuliza....
Wallah simjui...