Tupeane maaarifa je inawezekana kutumia program za computer kwenye smartphones?

Tupeane maaarifa je inawezekana kutumia program za computer kwenye smartphones?

Boban boy

New Member
Joined
Mar 28, 2021
Posts
3
Reaction score
2
Nmechek youtube nkaona kuna kitu kinaitwa exagear kwamba unaweza run program za computer kama virtual dj au fl studio ukaweza tumia kweny smartphone ila kwang inagoma je kun mjuzi humu anisaidie.

vCuv_XDj7UlxqkgUSfCIqnw6XcL-SpjVSRnYy3YC5yvkKxObqV7mjlgUL03_adW65RK7M2UUxdKORDo8=w560.jpg
 
Hapo nadhani itahitaji, simu yenye GB 8 ram na kuendelea na internal Storage GB 200 na kuendelea.
Bila hivo utajitesa tu
 
Nmechek youtube nkaona kuna kitu kinaitwa exagear kwamba unaweza run program za computer kama virtual dj au fl studio ukaweza tumia kweny smartphone ila kwang inagoma je kun mjuzi humu anisaidie

View attachment 1736888
Exagear inawezekana ndio ila ina emulate software za windows na sio windows yenyewe, na si software zote zinakubali.

Pia unatakiwa uwe na pc ukisha install kwenye pc ndio unacopy mafile na Kuja kupaste kwenye simu yenyewe inazingua.

Na mwisho Exagear developer wake ameshaitelekeza hivyo ni hit and miss usiweke expectation kubwa sana.
 
Back
Top Bottom