Tupeane maujanja jinsi ya kujiunga na bando la LAMBA DUME kutoka Tigo. 6GB kila baada ya wiki 2.

Tupeane maujanja jinsi ya kujiunga na bando la LAMBA DUME kutoka Tigo. 6GB kila baada ya wiki 2.

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
wazee kwema? tupeane maujanja tupunguze ukali wa maisha ya mtandaoni.

Screenshot_20211107-070037.png
Screenshot_20211107-072452.png
 
Watu wanakuwaga na wivu wa kuse**e. Imagine mtu anashidwa kutoa maelezo vzr namba ya kufanya ili kupata hizo gb. Yan tigo watupige na sisibkwa sisi tunataka tupigane. Duuuu!
 
Wizi tu huu, mbona hakuna promo yoyote labda kama nikwa wafanyakazi tu
 
Back
Top Bottom