Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Wanaungwa na mawakala wa tigo. Unalipia hela mkuu.Hii inaungwa vipi
Wanaume ni tofauti na wavulana mkuu.........Nijuavyo mimi wanaume tunakuwa tumenyoka kwenye maelezo Lakini humu ni tofauti sana
Soma saa na dakika. Tarehe na.mweziKuna harufu ya vilio[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Mr kiunoSoma saa na dakika. Tarehe na.mwezi
akipigwa mtu labda itokee tu
kuna mdau humu humu jf anaunga hayo mabando
View attachment 2002885
Mtu mwenyewe huyu hapa
View attachment 2002876
Huku wanaume wanazungumza huku wakitafuna vijitiNijuavyo mimi wanaume tunakuwa tumenyoka kwenye maelezo Lakini humu ni tofauti sana