Tupeane maujanja ya Dream League Online/Offline

Tupeane maujanja ya Dream League Online/Offline

Nielekezeni nmna ya kucheza online na mtu hawa madogo wa academy division hawana changamoto kabisa View attachment 1502693
ukishafungua game fanya kama unataka kucheza academy division achana napo click katikati utakuta wameandika local multiplayer click kwa juu mtandao utasearch utampata mtu wa kucheza nae hakikisha data zipo on haili mb ukiwa na mb 50 tu utacheza mpaka uchoke
 
Nimeligugo tu mkuu ila lipo fresh na ni easy kuliinstall,
Nilichopendea ni uhalisia wa wachezaji kila mchezaji ana umbo lake la asili tatizo labda graphics quality inaonekana hilo la mdau hapo lina graphics kali zaidi, kiufupi mimi napenda sana uhalisia ila kwakuwa huko online unakutana na majini basi lazma ubadilike kidogo la sivyo utakuwa mtu wa kuchezea vipondo mwanzo mwisho,
Ndio maana mm ni mdau sana wa FTS tatizo lake ni ubovu wake wa picha watu wake hawana uhalisia kabisa
Mrejesho,

Nimecheza magem yote yaliyopo kwa sasa 19,hili la 20 na lile la 21

21 na 20 haya yaliyohackiwa hayana tofauti kubwa zaidi ya hilo la 20 players ni ViP na wote wana vimo sawa yaani 204cm kitu ambacho wameondoa ladha nzima ya game hasa kwa wanaocheza normal games maana hakuna hata chembe ya uhalisia mf. Kante na Pogba wapo sawa ,pia opponents wa online wanakimbia/skip sana mechi wakishaona yale maalama ya ViP,
Hivyo kwangu mimi halijanivutia kabisa,kwanza yale maneno ViP yanankera sana, bora wangeweka kwa baadhi na sio wote.

Zaidi ya tofauti hiyo hakuna nyingine maana yote ni HD, wachezaji wote wapo unlocked,
Kwa mimi kidogo naweza kucheza lile la 21 maana lina uhalisia kidogo mf.Kante ni mfupi na Pogba ni mrefu.

Game zuri kucheza ni hilo la 19 na 21 hacked kwa upande wangu[emoji1360]
 
21 ni fake ni graphics tu izo watu wameandika namba 21 na nalotumia mimi naliona lina uhondo sana
Hd view, both player 204CM,all player unlocked,all player VIP, all player both footed and unlimited coin
We unatumia lipi?
 
21 ni fake ni graphics tu izo watu wameandika namba 21 na nalotumia mimi naliona lina uhondo sana
Hd view, both player 204CM,all player unlocked,all player VIP, all player both footed and unlimited coin
Tupe link mkuu ya kulipata hili.
 
Hapo obb unaweza kudownload kupitia playstore kama app inavyokuelekeza kurahisisha ni kama mb 294 tu alafu litacheza ukifanikiwa nambie nikuelekeze namna ya kufanya waonekane HD
Nielekeze na mimi mkuu jinsi ya kulipata, nina la 2018 jepesi mno mpk linakera unaweza ukafunga hadi goli kumi.
 
Tatzo kubwa nililo nalo nakuwa na wachezaji local sana kikosi changu,,nataka kuwa na timu kama Arsenal or Barcelona mnafanyaje

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Msaada wa kuhack Dsl 2021 wakuu nimechoka kucheza bila wachezaji shida tupu
Screenshot_2021-04-17-19-49-30-214_com.firsttouchgames.dls7.jpg
 
Msaada wa kuhack Dsl 2021 wakuu nimechoka kucheza bila wachezaji shida tupuView attachment 1754819
Tazama kwenye hii thread. Then download utakacho.

 
Back
Top Bottom