Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Kwa Swali lako mkuu... Hii itasaidia wengiNaomba kujuzwa kwenye excel jinsi au namna ya kubadilisha text kutoka herufi ndogo na kuwa herufi kubwa randomly kama ilivyo kwenye word docunent
Yes ni kazi nzuri na hapo inaonesha umeielewa VLOOKUP kisawasawa!! Congrats!!Kwa upande wangu mkuu nimeona ni iko fasta than if mkuu na nimeielewa vizur sana tofauti na if huwa inanigomeaga wakati mwingine napo itumia mkuu.vipi kuna ubaya katika hili mkuu?
Nadhani nilishajibu hili swali huko juu... Hebu pitia mkuu
Mnatia ICDLTembelea www.comskills.co.tz
nashukuru sana mkuu,ila nimekwama kidogo kwani nina data ktk columns and rows je hiyo UPPER A1 ninaiandika wapiAsante Kwa Swali lako mkuu... Hii itasaidia wengi
Katika Excel Kuna functions zifuatazo
Ukiandika =UPPER(A1) Maneno yaliyopo katika A1 kama yapo katika small letters yatakuwa Capital letters
Ukiandika =LOWER(A1) kama yako katika capital letters yatakuwa small letters
Ukiandika =PROPER(A1) yataanza na Herufi kubwa tu
Hebu fanya na utupe feedback
ndugu naona upo vizuri excel hebbi nisaidie formula ya kutafuta ukibwa wa eneo kutoka kwenye longitude na latitude na pia utafutaji wake uweze kuconsider time difference kati ya hizo latitude na longitude, kama unaweza naomba unitafute kwa namba 0714890018. nitakutumia data na maelezo mengine. Tutalipana japo kiasiLeo tuiangalie Kwa Ufupi kabisa hii function ya COUNTIF. Hii hukuwezesha kuhesabu namba, au vitu vilivyopo katika ROW au COLUMN jinsi unavyotaka.. Kwa mfano kama Kwenye Column Kuna mchanganyiko wa Maembe na Mapera na Unataka kujua idadi ya Mapera Peke yake..
=COUNTIF(range, criterion) hapo lazima uanze na Alama ya sawasawa kama kawaida Kwenye formula za Excel halafu Kwenye Range unaandika Cell ya kwanza katika data zako unaweka : halafu unaandika Ile ya mwisho.. Kwenye Criteria ndio pa kuandika Ile Condition unayoitaka..
=COUNTIF(A1:A12,"Mapera") itakuletea idadi ya Mapera
Angalia mfano hapo chini ambao nimefanya ili kutafuta idadi ya Savings
![]()
Nimetumia Lakin sina ujuz nayo nimattumizi mdogo kama kupiga musicHujawahi tumia Computer?
poa mkuu ni rahisi sana unaweza nicheki PM unitumie hizo taarifandugu naona upo vizuri excel hebbi nisaidie formula ya kutafuta ukibwa wa eneo kutoka kwenye longitude na latitude na pia utafutaji wake uweze kuconsider time difference kati ya hizo latitude na longitude, kama unaweza naomba unitafute kwa namba 0714890018. nitakutumia data na maelezo mengine. Tutalipana japo kiasi
poa ila utabidi tuwasiliane kwa simu kabisa ili nikupe maelezo vizuri. nakutumia document pm mida hiipoa mkuu ni rahisi sana unaweza nicheki PM unitumie hizo taarifa