Tupeane maujanja ya Excel

naomba nami niunge huko

Hakikisha umeandika formula pale ambapo Unataka Jumla itokee... Andika kama inavoonekana Kwenye picha halafu bonyeza enter..

Rudia mara mbili Tatu utazoea.. Usisahau kuingia Kwenye Telegram nitakuwa naweka video fupi ili ieleweke vizuri
 
Guys napenda kujua jins excel inavyolink na visual basic then mtu unaweza tengeneza buttons, entry fields. Then unatengeneza button kama clear na forms. Naomba kujua
 
Reactions: Dyf
Asante Kwa Swali Lako Zuri.. Nimekuandalia Video fupi.. Nimeiweka Kwenye Group kule hakikisha umeingia... Nimejifunza swali lako lote.. Iangalie na fanya mazoezi na kama utakuwa na swali usisite kurudi hapa kuuliza

Ethos ,very good job ua doing here bro.Napata tatizo nikigonga link inaniambia ADDRESS WASNT UNDERSTOOD nashdwa kujoin.HELP PLZ
 
naomba unieleweshe kuhusu hiyo range. sijaelewa kabisa
 
Yn hata mm nnahamu kweli nijue,ulieanzisha Uzi ungeanza hiko ulichonacho ili wakija wataalamu waendelee
 
Mkuu Ethos mbona kule telegram kupo hujatupia nondo yeyote kwa muda sasa I think ni tangu feb. Tuwekee clip nyongine tuzid kupata madini zaidi.
 
Nashkuru kwa kushare great info kama hii!ningependa kujua pa kuanzia ile niweze kuitumia excel kwa kujiamini,kiukwel huwa napata ugumu sana!
 
Jaman wataalamu kuna tatizo moja naomba msaada.
Nina mafaili mawili; yote yamekosewa
Faili la kwanza nimechanganya watu waliopo na wasio kuwepo na namba zao za simu.
Faili la pili lina watu waliopo tu ila hakuna namba zao za simu nawezaje kurekebisha kwa haraka badala ya kupitia kila jina?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama data umezipanga vizuri tumia Vlookup function

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawahi kujifunza jinsi ya kutenganisha au kugawanya data katika excel ? yaani zilizopo katika column moja kuwa mbili ? Pata darasa kidogo hapa na nishukuru baadae...

Chagua column ambayo unataka kuigawa,

then nenda kwenye data----->> halafu utaona sehemu kwa juu imeandikwa text to columns click hapo

itatokea hivi




Then chagua delimited, kitakuja kitu kama hiki hapo chini. Fixed width yaani kutenganisha kwa upana fulani tutazungumzia siku ingine. Bonyeza next





Unaweza ukachagua kugawanya kwa kutumia space, semi colon, au alama yoyote ambayo ipo common katika column husika. Mimi hapo nimechagua kutumia dash yaani - utaona neno Jamii forums na number zimetengana. then click next

utapata kitu kama hiki hapa chini baada ya ku click finish





Nakaribisha maswali... Kama upo telegram usisahau kufuata link na kuingia katika group letu.

Link>>>>> Excel/SpreadsheetsTZ



Ethos.
 
Unaweza ukatuma screen shot nikusaidie? hapa au PM?

Au kutoa mfano zaidi?

Asante.

Ethos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…