Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Wakuu msaada tafadhali,
Tatizo ni Excel(Product Activation Failed)

Nimejaribu hizi procedures
-Local disc C
-Program files
-Microsoft Office
-Office 15
-OSPPREARM(Kwangu haipo, kuna AppSharinghookController64,MSOHTMED na msoia)
-Run as administrator

Sijafanikiwa, nimejaribu kupiga chabo YouTube but bilabila.

Njuka II
Ukifika kwenye program files usiifungue shuka step moja chini utakuta program files(×86) fungua hiyo shuka kwenye Microsoft office fungua nenda office15 fungua shuka chini utaiona OSPPREARM right click alaf click run as administrator baada ya hapo refresh window
 
Wakuu msaada tafadhali,

Nina masupplier watatu wananisupply mafuta ambayo ni Diesel na Petrol,nimetengeneza formula (Sumproduct) ambayo ina criteria 4, ambazo ni Customer Name, Fuel type,Litters, na amount sasa changamoto inakuja kwenye kupata sum ya litters as per customer kama ni Petrol au Diesel.

Sasa nahitaji kupata hiyo sum ya lita View attachment 2879454
Tumia formula uliyotumia kupata amount, then kwenye hiyo formula column ya ammount weka column ya litres
 
Wakuu kuna hii Presumptive Tax (see the attached?

Nimejaribu ku-generate formula kwa criteria hizo iwe inaniletea amount ya kodi (Tax) lakini inanigomea. Kwa yeyote anaeweza kudelevop hiyo formula msaada tafadhali.

Cc: Njuka II ,Promenthous ,philos
 
Attachments

  • Screenshot_20250306_181345_Chrome.jpg
    Screenshot_20250306_181345_Chrome.jpg
    132.3 KB · Views: 1
=IF(A1>100,000,000,0+(A1-100,000,000)3.5%,
IF(A1>11,000,000,90,000+(A1-11,000,000)3%,
IF(A1>7,000 000,0+(A1-7,000,000)3%
IF(A1>4,000,000,0+(A1-4,000,000)0%,0))))

Hii formula ndo nime generate lakini hainiletei majibu sawa msaada tafadhali.

Cc: Njuka II philos Promenthous na wengineo
 
Kwa jinsi ulivyopanga tumia < badala ya >
 
Sawa mkuu, unaiipata fresh hii??
=if(A1>=100000000,(A1-100000000).35,if(A1>=11000000,90000+(A1-11000000).3,if(A1>=7000000,(A1-7000000)*.3,0))) ondoa commas kwenye numbers, hakuna sbb ya kuzidisha au kujumlisha kitu kwa zero
 
Hivi ukiandika hapa unaonaje?

1. Tuanze na hili maana watu hawasemi nini shida....
Kwa mfano unataka kuunganisha maneno mawili yaliyopo kwenye cell mbili tofauti... kwa mfano
-saba kwenye cell moja,
-saba kwenye cell nyingine
=Cell moja & Cell yapili
 
=if(A1>=100000000,(A1-100000000).35,if(A1>=11000000,90000+(A1-11000000).3,if(A1>=7000000,(A1-7000000)*.3,0))) ondoa commas kwenye numbers, hakuna sbb ya kuzidisha au kujumlisha kitu kwa zero
Imegoma mkuu, ambapo ukiingiza 10,000,000 kwenye ile template ya TRA inakuja 3,000,000 kama provisional tax, wakati kwa hii formula uliyodevelop inakuja 90,000 mimi kwa ile formula inakuja 3,850,000 kwahiyo tumekosea kaka.
 
Ile 100,000 na 250,000 ni nini from the schedule. Manually kama input ni 10m, unapata 90000 + excess ni 3m x 3%

Hapo kwenye schedule hiyo 100000 na 250000 ni nini? Ukifanya manually kwa mfano wa 10M, utapata 90000 + excess ya ya 7m ni 3m x 3% ambayo ni 90,000 kwahiyo 180,000 hiyo 3m anaipata wapi? Nahisi schedule ni tofauti
 
Hiyo, ni exceptional condition ambapo mfanyabiashara ambaye hatunzi kumbukumbu (Yaani books of accounts haziko audited) ndo anatozwa hizo amount of tax kulingana na volume ya turnover (sales) yake. Kwa kuwa hiyo ni given (constant) tunazi-ignore kwenye formula yetu ili kukokotoa tu za wale watakuwa wametunza kumbukumbu (books of accounts). Schedule ni moja ila ina criteria mbili za wale wasiotunza kumbukumbu i.e (100,000 &250,000) na wanaotunza kumbukumbu wa hizo rates
 
Back
Top Bottom