APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Evaluate huyo formula iwe msaada kwa wengi mkuu.nitumie faili nikufanyie luanda@comskills.co.tz
Type hiyo formula hapa tuone mpangilio wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Evaluate huyo formula iwe msaada kwa wengi mkuu.nitumie faili nikufanyie luanda@comskills.co.tz
Ukifika kwenye program files usiifungue shuka step moja chini utakuta program files(×86) fungua hiyo shuka kwenye Microsoft office fungua nenda office15 fungua shuka chini utaiona OSPPREARM right click alaf click run as administrator baada ya hapo refresh windowWakuu msaada tafadhali,
Tatizo ni Excel(Product Activation Failed)
Nimejaribu hizi procedures
-Local disc C
-Program files
-Microsoft Office
-Office 15
-OSPPREARM(Kwangu haipo, kuna AppSharinghookController64,MSOHTMED na msoia)
-Run as administrator
Sijafanikiwa, nimejaribu kupiga chabo YouTube but bilabila.
Njuka II
Tumia formula uliyotumia kupata amount, then kwenye hiyo formula column ya ammount weka column ya litresWakuu msaada tafadhali,
Nina masupplier watatu wananisupply mafuta ambayo ni Diesel na Petrol,nimetengeneza formula (Sumproduct) ambayo ina criteria 4, ambazo ni Customer Name, Fuel type,Litters, na amount sasa changamoto inakuja kwenye kupata sum ya litters as per customer kama ni Petrol au Diesel.
Sasa nahitaji kupata hiyo sum ya lita View attachment 2879454
Sort a - z. Ila weka filtterWakuu samahani Nina data zangu nimeweka za receipts Sasa tarehe niliyoweka hazijapangana kwa mpangilio nataka njia ya kufanya zijipange kutokana na tarehe na mwezi husika.View attachment 2590648
Mgogo Vitani bado ina umuhimu wake kaka. Wengi tupo kwenye levels tofauti za uzoefu so inawezekana beginner akawa anafuatilia thread anapata madini mengi tu.Back in days ilikuwa ni very useful thread indeed.
Nakubali mkuu.Mgogo Vitani bado ina umuhimu wake kaka. Wengi tupo kwenye levels tofauti za uzoefu so inawezekana beginner akawa anafuatilia thread anapata madini mengi tu.
Kwa jinsi ulivyopanga tumia < badala ya >=IF(A1>100,000,000,0+(A1-100,000,000)3.5%,
IF(A1>11,000,000,90,000+(A1-11,000,000)3%,
IF(A1>7,000 000,0+(A1-7,000,000)3%
IF(A1>4,000,000,0+(A1-4,000,000)0%,0))))
Hii formula ndo nime generate lakini hainiletei majibu sawa msaada tafadhali.
Cc: Njuka II philos Promenthous na wengineo
Sawa mkuu, unaiipata fresh hii??Kwa jinsi ulivyopanga tumia < badala ya >
Nimeweka tu formula inakuja na -ve 3,500,000 hapo sija weka amount kama turnoverKwa jinsi ulivyopanga tumia < badala ya >
=if(A1>=100000000,(A1-100000000).35,if(A1>=11000000,90000+(A1-11000000).3,if(A1>=7000000,(A1-7000000)*.3,0))) ondoa commas kwenye numbers, hakuna sbb ya kuzidisha au kujumlisha kitu kwa zeroSawa mkuu, unaiipata fresh hii??
=Cell moja & Cell yapiliHivi ukiandika hapa unaonaje?
1. Tuanze na hili maana watu hawasemi nini shida....
Kwa mfano unataka kuunganisha maneno mawili yaliyopo kwenye cell mbili tofauti... kwa mfano
-saba kwenye cell moja,
-saba kwenye cell nyingine
Imegoma mkuu, ambapo ukiingiza 10,000,000 kwenye ile template ya TRA inakuja 3,000,000 kama provisional tax, wakati kwa hii formula uliyodevelop inakuja 90,000 mimi kwa ile formula inakuja 3,850,000 kwahiyo tumekosea kaka.=if(A1>=100000000,(A1-100000000).35,if(A1>=11000000,90000+(A1-11000000).3,if(A1>=7000000,(A1-7000000)*.3,0))) ondoa commas kwenye numbers, hakuna sbb ya kuzidisha au kujumlisha kitu kwa zero
Ile 100,000 na 250,000 ni nini from the schedule. Manually kama input ni 10m, unapata 90000 + excess ni 3m x 3%Imegoma mkuu, ambapo ukiingiza 10,000,000 kwenye ile template ya TRA inakuja 3,000,000 kama provisional tax, wakati kwa hii formula uliyodevelop inakuja 90,000 mimi kwa ile formula inakuja 3,850,000 kwahiyo tumekosea kaka.
Hapo kwenye schedule hiyo 100000 na 250000 ni nini? Ukifanya manually kwa mfano wa 10M, utapata 90000 + excess ya ya 7m ni 3m x 3% ambayo ni 90,000 kwahiyo 180,000 hiyo 3m anaipata wapi? Nahisi schedule ni tofautiImegoma mkuu, ambapo ukiingiza 10,000,000 kwenye ile template ya TRA inakuja 3,000,000 kama provisional tax, wakati kwa hii formula uliyodevelop inakuja 90,000 mimi kwa ile formula inakuja 3,850,000 kwahiyo tumekosea kaka.
Hiyo, ni exceptional condition ambapo mfanyabiashara ambaye hatunzi kumbukumbu (Yaani books of accounts haziko audited) ndo anatozwa hizo amount of tax kulingana na volume ya turnover (sales) yake. Kwa kuwa hiyo ni given (constant) tunazi-ignore kwenye formula yetu ili kukokotoa tu za wale watakuwa wametunza kumbukumbu (books of accounts). Schedule ni moja ila ina criteria mbili za wale wasiotunza kumbukumbu i.e (100,000 &250,000) na wanaotunza kumbukumbu wa hizo ratesIle 100,000 na 250,000 ni nini from the schedule. Manually kama input ni 10m, unapata 90000 + excess ni 3m x 3%
Hapo kwenye schedule hiyo 100000 na 250000 ni nini? Ukifanya manually kwa mfano wa 10M, utapata 90000 + excess ya ya 7m ni 3m x 3% ambayo ni 90,000 kwahiyo 180,000 hiyo 3m anaipata wapi? Nahisi schedule ni tofauti