Tupeane maujanja ya Excel

asante mkuu ila umepotea sana
 
Nimepost pia telegram, hapa

Kila siku kutakuwa na kitu kipya cha kujifunza

Jinoe polepole haina haja ya kwenda darasani

Hii ni kwa ajili ya watu wote. Usiabike kazini kwa lutojua kitu kidogo

Ethos .
 
Sasa Mkuu, labda kwa mfano nataka hiyo A5 na kushuka chini ziwe zinajiandika kwa namba kwa kawaida yaani ianzie 1,2,3...... kwasababu A1 mpka A3 ntaandika Title.

Nifanyeje hapo?
 
Sasa Mkuu, labda kwa mfano nataka hiyo A5 na kushuka chini ziwe zinajiandika kwa namba kwa kawaida yaani ianzie 1,2,3...... kwasababu A1 mpka A3 ntaandika Title.

Nifanyeje hapo?
High light hiyo column A yote halafu right click then chagua Insert Column

Halafu weka number 1 na 2 Row ya A5 na A6 then zi highlight zote halafu drag kwenda chini mpaka idadi unayotaka

Asante.

Ethos.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawezaje kujua figure flan imejirudia kwnye column moja? Msaada tafadhali
 
Njia rahisi Condition formating>Duplicate value na kama unataka kujua zimejirudia mara ngapi tumia CountIF Function =CountIf($a$1:$a$X,a1) where a1:ax ni data range ktk column na a1 ni figure unayotaka kujua kama imejirudia

Mkuu hiyo link mbona haifunguki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau, kama kuna kundi la namna yeyote liwe la whatsApp linalotoa elimu hii n naomba niunganishwe namba yangu ni 0757062351

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakaupongeza sana kwa kuanzisha kundi hili,nimekuwa natafuta kinda la namna hii kwa muda mrefu.kinatia excel kwa kiasi Fulani katika kazi zangu.Nina kiu ya kijifunza kutenzeneza matokeo ya wanafunzi wangu kwa mtundo wa NECTA.Nina weza kubadili Maksi tarakimu kuwa Hereford (grade).vitu vinavyo nishinda na Naomba mnifundishe ni namna ya kuwa piga penalt wanafunzi wanaofeli masomo ya msingi.na kuweka absent kwa Yule ambaye hakufanya mtihani.asente
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…