Tupeane maujanja ya Excel

Safi sana... VLOOKUP hata kama una bidhaa 1000 unaweza Jua bei ya kila kitu au information yeyote ndani ya dakika moja!
Ok, tunashukuru kwa utalaamu wako.
Sasa tukija kwenye matokeo ya mtihani (tuchukulie mtihani wa mwisho wa muhula), nataka kujua idadi ya "A", kwa kila somo,idadi ya " B" kwa kila somo,idadi ya "C" kwa kila somo, idadi ya "D" kwa kila somo,idadi ya "F" kwa kila somo; jumla ya masomo ni 9. Je , nawezaje kuifanya kazi hii kwa wakati mmoja au na kwa formula moja?
Nitashukuru kwa majibu yako.
 

Weka sample ya kazi uelekezwe vizuri mkuu
 
Weka sample ya kazi uelekezwe vizuri mkuu

Sasa sheet yangu inaonyesha majina ya wanafunzi pamoja na grade zao kwa kila somo (jumla masomo 9).
Sasa nataka kutengeneza summary ya ufaulu kulingana na grades zilizopo kwa kila somo na kwa wanafunzi wote-mfano somo la civics "A" ziko ngapi jumla? "B+" ziko ngapi jumla? n.k vivyo hivyo kwa masomo yote. Shida yangu ni kuitaka kazi yangu kuifanya kwa wakati mmoja na si kushughulikia somo moja moja.

Weka sample ya kazi uelekezwe vizuri mkuu
 
Njoo upate hayo maujanja ofisini kwetu The Computer Skills (ComSkills), Makumbusho Business Complex, 2nd Floor kuanzia saa 2 asub mpka 2 usiku. You will not be disappointed. Call 0717718519
Hapa Kwetu JF ni bure just bundle, huko kwenu nako ni bure?
 
tumia formula hii ya count if ambayo ipo ka ifuatavyo =COUNTIF(D5😀51,"*C*") nb d5:d51 zina badilika hiyo c inabadilika kutokana na nini unataka kukihesabu mfano inaweza ikawa A, B, C D
 

tumia formula hii ya count if ambayo ipo ka ifuatavyo =COUNTIF(D5:51,"*C*") nb d5:d51 zina badilika hiyo c inabadilika kutokana na nini unataka kukihesabu mfano inaweza ikawa A, B, C D
 
naombeni kufahamishwa kama excel sheet ninaweza kuiaplod kwenye jamii forum kama inawezekana nitanyanye kuituma hapa
 
tumia formula hii ya count if ambayo ipo ka ifuatavyo =COUNTIF(D5:51,"*C*") nb d5:d51 zina badilika hiyo c inabadilika kutokana na nini unataka kukihesabu mfano inaweza ikawa A, B, C D
Sasa we jamaa, uliyoitoa inakuwa kama manually kwa kuwa kila somo itanibidi nitafute idadi ya A peke yake kwanza, kisha B+ peke yake, kisha B peke yake, kisha C peke take, n.k yaani mpaka masomo yote 9 ni shughuli.
Sasa mi nataka formula ya ku-process masomo yote 9 na kwa wanafunzi wote (hata wakiwa 600 kwa mfano) ili nipate summary ya jumla ya grades hizo kwa kila somo kwa wanafunzi wote.
 
hiyo inaweza kufanya kwa kuandika =countif( halafu utaselect sehemu zote unazotaka uhesabu theni utaandika alama ya koma , halafu ikifuatiwa na "*C*") then utapless enter utapata majibu. ila kama kuna njia nyingine ndio tushirikishane hapa
 

Mkuu naomba ulelweshe formular
 
View attachment 612144
Mkuu naomba ulelweshe formular

Majibu yako haya mkuu
1.jinsi ya kupata Tax Price kulingana na rate yako ya kodi hapo utaweka function hii =B3(ambayo ni price before tax)*20/100(ambayo tax rate) ndo utapata tax price kama kwenye picha hapo

2.Ili kupata Taxed price utachukua B3(Ambayo price before Tax)-C3(Tax price) ndo utapata Taxed price kama kwenye picha hapo.
 
hiyo inaweza kufanya kwa kuandika =countif( halafu utaselect sehemu zote unazotaka uhesabu theni utaandika alama ya koma , halafu ikifuatiwa na "*C*") then utapless enter utapata majibu. ila kama kuna njia nyingine ndio tushirikishane hapa
Ngoja nijaribu, nitakuletea mrejesho.
 
Rahisi sana. Lazima ufanye conditional formating ili iwe inabadilika rangi kulingana na stock yako inavopungua na ikikaribia kuisha kabisa iwe nyekundu. Ila unaweka column tatu. Moja ya stock ingine ya sales na ingine inadeduct kutoka kwenye stock so ukiuza moja huku zinabaki 19
 
JAMANI, NAOMBENI KWA ANAEJUA, ANISAIDIE NAMNA YA KUANDIKA BARUA KWA KUTUMIA EXCEL......... NI SWALI NIMEULIZWA JAMANI KWENYE USAILI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…