Tupeane maujanja ya Excel

Hii Office unayotumia ya mwaka gani mkuu? Mimi imenipa shida kidogo kupata "custom" kwenye "number"
 
Poa mkuu imekaa poa
 
Ziweke alama column ya kwanza kwa majina yote, highlight majina yote na marks zake, light click then select Sort A-Z, ngoma itakupangia flesh
Naomba kujulishwa jinsi ya kuandaa matokeo ya mtihani, jinsi ya kuwapanga wa mwanzo hadi mwisho kwa kuzingatia column ya JUMLA bila kuathiri mpangilio wa alama za masomo kwa kila somo.
 
Naomba kufahamu jinsi ya kureturn many columns at once kwa kutumia vlookup
 
Asante mtoa mada maana wengine hiyo excel n shidah vitu vichache tunavyovijua nmeona maoni na michango ya wadau naamin tutapata maujuz kwa uzi wako huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…