Tupeane maujanja ya Excel

Mkuu wetu naomba umsaidie huyu mtu utakua umetusaidia weng mno
 
Total number ya items za aina moja au total number ya items za aina tofauti?
 
Ungetumia kiswahili kaka ingekua poa sana
 
Wakuu naomba msaada wa namna ya kufungia vitu kwenye mfano ume-create kitambulisho kwenye publisher
, sasa ukitaka kuki-copy ki-copy kizimakizima bila kuacha kitu.
 
Wakuu naomba msaada wa namna ya kufungia vitu kwenye mfano ume-create kitambulisho kwenye publisher
, sasa ukitaka kuki-copy ki-copy kizimakizima bila kuacha kitu.
Select vitu vyote huku ukiwa umehold Ctrl button then right click then chagua Group
 
Select vitu vyote huku ukiwa umehold Ctrl button then right click then chagua Group
Boss sorry again, nifanyaje niweze kuzibadilisha tarehe zote za siku ya j2 ziwe na rangi nyekundu?
 
Kama ipo kwa mtindo huu ungebadili vipi?
Hapo hakuna jinsi maana templates za ms publisher ni muunganiko wa objects mbali mbali ambazo baadae zinakuwa combined kutengeneza object moja,hazitengenezwi kama ms word doc type. Ile yenye muundo wa one month per each page unaweza ukaformat by column ama row tofauti na hiyo ya one year months per page.
Labda kama kuna njia nyingine ambayo siifahamu
 
Ok sasa nikiwa nimefanya kwa mwezi mmoja to mwingine na nikahitaji miezi yote zionekane kwa page 1 nafanyaje?
 
Kuna njia ya kujiingizia kipato kwa kusaidia watu wenye shida ya kutumia Excel vizuri. Kama wewe unajiamini kwenye mambo ya Excel (bila VBA) unaweza ingia kwenye tovuti moja ya huko Amerika. Kipato chako kinaweza fika dollar 500 kwa wiki kama unao muda wa kutosha na unajua vizuri Excel.
Mimi binafusi nimefanikiwa wiki iliopita kujiunga nikachaguliwa kuwa mmoja wa ma experts. Kwa sasa hivi account yangu inasoma kipato cha dollar 80.7 baada ya siku 9.
Kama unahitaji kujiunga na watalamu wa Excel duniani kusaidia wenzako na kujiingizia kipato, unaweza tumia link hii:
Join today with this link and earn a sign on bonus!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…