Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaweza kutupatia shule kdogo kuhusu V-lookup kwenye excel ? asanteWadau,
Kujua Excel Spreadsheets ni muhimu sana...
Tunaweza tukashirikishana tricks mbalimbali katika Excel hapa ili tujifunze wote..
Unaweza pandishwa CHEO au Kupata kazi kirahisi Kwa kujua EXCEL vizuri.. Watanzania wengi udhaifu wao upo hapo.. So Unaifanya WEAKNESS hiyo kuwa Strength kwako.Kwenye Ofisi yeyote mtu ambaye haogopi excel huwa anaonekana ni kichwa sana.. unaweza pia ukamvutia bosi wako kama utaijua kumshinda yeye na atakufanya rafiki yako ili usimuumbue...
Kwenye Interview ndio utawamaliza kabisa ..ukikutana na viherehere wakakuchokoza hapo ndio unawaonesha ujuzi wako wote... wengi huwa hawaijui kwasababu ya uvivu... Kwa hiyo usiogope..Niliwahi ulizwa kazi na panelist kwenye Interview nikaenda deep mpaka akaogopa maana kuna vitu alikuwa havijui na yeye akaamua apotezee hilo swali akarukia kitu kingine kukwepa aibu..
Weka Trick yako hapo chini ili wengine wafaidi au kama unaswali uliza nitakujibu mimi au wadau wengine...
Ingependeza sana pale unapokwama uulize swali hapa.. Ili tujadiliane vitu ambavyo ni useful katika mazingira yetu ya shule au kazini...
Please NOTE
** Usiulize kitu unachokijua kupima watu Bali andika trick unayoijua ili wengine wafaidi na kama unaswali ULIZA wataalam tutakusaidia
Naomba kuwasilisha
PS:
Kama upo Telegram unaweza Ingia Kwenye Public Channel ipo hapo chini Kwa vitu ambavyo haviwezekani kuelezewa hapa vizuri
gonga hapo >>>> Excel/SpreadsheetsTZ
Naomba kuwasilisha!
Ethos
Ningependa kujua sehemu ambayo imekusumbua nirudie
Asante mkuu... Nipo vizuri pia.. Wasipokuja ntaanza mimi
Thanks mkuu Nguzo1..How to draw/ plot Microsoft excell data (surveyor data) into AutoCAD.
1} PLOTING
surveyor data from the GPS devise (in UTM or other format ) or total station can be saved in excell and later ploted in AutoCAD. Those data represent coordinates of a point on earth's surface and they include Horizontal distance (in meters ) East/west (X) Noth /south(Y) , and elevations (Z) and with these data you can plot a profile or alignment in AutoCAD.
~PROCEDURES;
From the excel data will be contained in four columns horizontal distance, elevation,Nothing & easting. Join data from the column Nothing & easting into a single column with a commer in between them by using concatenate function eg 891, 351 where 891 is northing and 351 being easting.
- drag the formula through the range of data available.
-within the same column (at the upper most cell which should be empty) type the following AutoCAD command SPLINE
- Now copy the whole column data including the CAD command
-minimize the excel window and open the AutoCAD application software
- click the command line in AutoCAD, rightclick and paste data copied from excel ...click ENTER !!
-now what you see is the alignment of the surveyed area with respect to the surveyor data from the excel sheet.
Advantage of this is that you can work with large volume of data in a short time to create drawings for road alignment and profiles , water distribution network , site layouts for buildings as well as producing drawings for surveyed land properties.
Any question so far.
Nguzo1
Itakuwa tatizo ni formula hazijakaa vizuri..mim kiukwel excel inanisumbua sana, kifup siijui.
Mfano nikitaka kujumlisha hesabu za biashara nazofanya, inaniletea majibu ambayo hayapo, yaan kwa mfano nikitumia kikokotoo cha kawaida,jumla ya hesabu labda itakuwa ni tshs 3,025,000/= lakini nikitumia excel kujumlisha kwa mujibu wa formula husika inaniletea labda tshs 52600/=
sasa hapo sijajua tatizo ni nin!
Itakuwa tatizo ni formula hazijakaa vizuri..
=SUM( D1😀20)
Hakikisha namba zote unazotaka zijumlishwe zipo katika Range husika
Ungeweza elezea huwa Unataka jumlisha nini ili nikupe mwanga zaidi
mfano nimeandika bidhaa zote nilizouza kwa wiki pamoja na mapato ya kila bidhaa, ktk excel sasa nikitaka kupata jumla ya mapato ya mauzo hapa ndo shida inapokuja,wakat mwingine inaleta jumla ya mapato ya pesa =0
Ninaandaa short video nadhani utanipata vizuri..Mkuu Ethos hapa sijakuelewa
Mkuu safi nimeelewa hii formula, tatizo ni kwamba mwenye jumla ndogo ndo anakuwa wa 1 na mwenye jumla kubwa anakuwa wa mwisho.Asante Kwa Swali Lako na samahani Kwa kuchelewa kukujibu..
Hapo tutatumia function ya RANK na Sio SORTING kama mdau mmoja alivoelekeza..
Unaandika =RANK(C3,C3:C12,1)
Formula hiyo iweke Kwenye Column mwanzo ili uweze ku Drag mpaka mwisho...
Lakini kumbuka C3 ni namba unayotaka ipewe nafasi yake
C3:C12 ndio range ambao Unataka itumike na hiyo moja ya mwisho ni kwamba ianze kuhesabu namba kuanzia 1 na Sio 0,1,2....
Pia hakikisha una ongezea Alama ya $ Kwenye kila herufi ya range yako ili unapodrag isibadilishe maana..
Kwahiyo itakuwa =RANK(C4,$C$3:$C$12,1)
![]()
Swali lako ni zuri sana mkuu born again paganMkuu safi nimeelewa hii formula, tatizo ni kwamba mwenye jumla ndogo ndo anakuwa wa 1 na mwenye jumla kubwa anakuwa wa mwisho.
Inakuaje hii? Je nifanyaje ili mwenye jumla kubwa awe wa 1?
Karibu Mkuu Ilankunda1234 hakikisha unakuwa kule Telegram pia. Tunaanza kuweka na video fupi ili kuongeza uelewaNimeona umuhimu wa kumwombea mwenzio apate huwezi jua atakusaidia kwa lipi?
Naanda maswali ya kuwaulizeni nyie wadau niliyohisi sitopata ufumbuzi wake,
Lakini kupitia hapa napata moyo wa kuamini kweli Mungu hupitia watu kumsaidia
VLOOKUP nimeizungumzia Kwa clip fupi kule Telegram Sijajua kama upo kule..Mkuu unaweza kutupatia shule kdogo kuhusu V-lookup kwenye excel ? asante