Tupeane maujanja ya Excel

Je wajua kuwa ukitumia Google SpreadSheet unaweza share na watu zaidi ya mmoja na mkafanya kazi moja hapo hapo hata kama mpo sehemu tofauti?
 
Darsa Zuri, Shukran. Kuna hii kitu ktk Telegram channel


Excel/SpreadsheetsTZ:
VoteBot:
Unaonaje hii program?

Nzuri sana
[emoji831]️ 0%

Nzuri kiasi
[emoji831]️ 0%

Sielewi vizuri
[emoji831]️ 0%

[emoji186] Nobody voted so far.

How do i vote ?
 
Angalia tena nimerekebisha mkuu.. Kulikuwa na tatizo la kiufundi
 
Thanks kwa darasa...endelea kutupa ujuzi
Asante.. ningependa maswali kutoka kwako pale unapokwama ili ni fundishe vitu ambavyo ni useful katika mazingira yako
 
Njoo upate hayo maujanja ofisini kwetu The Computer Skills (ComSkills), Makumbusho Business Complex, 2nd Floor kuanzia saa 2 asub mpka 2 usiku. You will not be disappointed. Call 0717718519
Nitawatafuta, nina shida ya kujifunza mambo machache yayohusiana na hiyo kitu.
 
Very solid advice! You definitely know what you are doing.
 
Hii document ni Calender iliyotengenezwa kwa Excel.. Ni ya mwaka 2016.. Unaweza ukaipakuwa kwa matumizi yako ya ofisini na pia kupangilia ratiba zako

Unaweza ukajiuliza kwanini Calender katika Excel ? Kama upo smart na mipango na mambo yako na unapenda taarifa sahihi kila wakati tutakuwa pamoja... hapo kwenye calender pembeni unaweza weka formula mbali mbali na ukapata idadi ya siku ambazo umefanya kitu fulani hata kwa mwaka mzima

link hii hapa

Kwa waliopo kwenye Chanel kule mtaipata ambayo ni downloadable
 
Leo tuiangalie Kwa Ufupi kabisa hii function ya COUNTIF. Hii hukuwezesha kuhesabu namba, au vitu vilivyopo katika ROW au COLUMN jinsi unavyotaka.. Kwa mfano kama Kwenye Column Kuna mchanganyiko wa Maembe na Mapera na Unataka kujua idadi ya Mapera Peke yake..

=COUNTIF(range, criterion) hapo lazima uanze na Alama ya sawasawa kama kawaida Kwenye formula za Excel halafu Kwenye Range unaandika Cell ya kwanza katika data zako unaweka : halafu unaandika Ile ya mwisho.. Kwenye Criteria ndio pa kuandika Ile Condition unayoitaka..

=COUNTIF(A1:A12,"Mapera") itakuletea idadi ya Mapera

Angalia mfano hapo chini ambao nimefanya ili kutafuta idadi ya Savings
 
SUNDAY TEASER:

Unajua nini kuhusu PIVOT TABLE katika Spreadsheets ???
 
Kudos brother
 
I am Humbled !

I came to work on spreadsheets by chance when we were doing a google related project at work and had to report in spreadsheets at all times, I have never looked back since. Bado haina uwezo wa excel (inachukua muda kuformat ukiwa na data nyingi, formula's nyingi haziingiani na excel e.t.c) lakini it will be the spreadsheet of the future no doubt.
Kwa sasa napenda jinsi;
1. The whole team all over the world can work on one spreadsheet and I can track all the changes everyone makes without sending a million emails back and forth.
2. Naweza kufanya mambo yangu kwenye spreadsheet kisha nikai-download kama excel na nikaendelea nayo kama kawa and vice-versa.
 
This is indeed a powerful comment so far! Thank you for your technical contribution..

Ni Kweli kabisa set backs ulizozitaja zipo wakati mtu anatumia Google Spreadsheets

Kingine ni Network kama ipo slow na team ni kubwa inaweza ikasumbua sana...
 

Mkuu Ethos hapa sijakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…