Usipoachana utakuwa na nyumba ndogo
nilidhani lbd ndoa za kilokole zinaweza kuwa na unafuu!!
Hivi juzi tu hata mwezi haujaisha dada mmoja mpiganaji kweli kweli na mwanamaombi aliolewa na kk mmoja mlokole mwenzie, kweli harusi ilikuwa nzuri!! wiki ile niliyofiwa akaja kunipa pole akiwa na mama mmoja mchungaji rafiki yangu, baada ya kuona muda umeenda sana, nilimuuliza nawewe unakesha?? akasema ndio, nikamuuliza shemeji vipi hata kasirika akasema tumeshaachana!! nilishika mdomo.
kumbe nasikia walitengana baada ya week 2 tu!! yule mama mchungaji aliniambia kuwa baada ya tu ya siku 2 za ndoa akaanza kusuluhisha kesi zao mpaka mwisho amechoka.
Nikasema duh!! kwakweli kuna haja ya kuendelea kuwa single mpaka kieleweke!!![/QUOTE]
hahahhaha Susy umenifurahisha hapo kwenye red
ila kweli ndoa za siku hizi zinatukatisha tamaa, yani hata hamu inatoweka
it's not exciting kuolewa anymore sio kama zamani
Ooh Lord, please give me strength
Siyo suluhisho,nmnazungumza,yanaisha.
Dah! mawazo yenu niliyoyapata hapa inaonyesha ndoa ni ngumu sana asee
Hahahahaha dena umenifurahisha asee, hivi hamuwezi mkakaa mkazungumza mkayamaliza na kuendelea kuishi kwa amani kweli? Mi nadhani kwenye ndoa ukimya ni mwingi sana watu hawapati muda wa kuzungumzia matatizo katika ndoa zao. Yaani inawezekana mmojawapo kati ya baba au mama hataki kabisa kukaa chini kuwekana sawa na mwenzie au akiambiwa anakuja juu

Maty NDOA kama NDOA sio ngumu ila sisi binadamu ndio tunaifanya ionekane ngumu, NDOA ni jambo takatifu lililobarikiwa na Mwenyezi Mungu kuachana sio solution tatizo tumekosa uvumilivu mama anajifanya mjuaji baba naye anajifanya mjuaji kila mtu ndani ya nyumba anajifanya ana kibesi kuliko mwenzake,wengine walioana ili mradi tu kwa vile fulani kaoa, nakumbuka siku moja padri kanisani aliuliza "Ambaye hajawahi kutoka nje ya ndoa yake anyooshe mkono juu" nakumbuka kati ya watu wote waliokuwa kanisani walionyoosha mikono juu walikuwa watano tu.Dah! mawazo yenu niliyoyapata hapa inaonyesha ndoa ni ngumu sana asee
Maty....ukiona watu mpaka wamefikia kuachana jua wameshindwana kabisa kabisa kabisa....unaweza ukaondoa huo ukimya unaousemea ukaongea mpaka ukapata kibiongo lakini mwenzio yanaingilia huku yanatokea kule, mie huwa namheshimu mtu aliyeona yamemshinda akaamua aanze njia yake mana kufa kwa pressure n nn?
Nitafute nikupe zawadi yako ya Pasaka for this useful postUkiingia kwenye ndoa, usijivue uhusika wako na usitake kumvua mwenzio uhusika wake kwa 100%. Jipeni nafasi wa kila mmoja kuishi maisha yake, na jipeni nafani ya kuishi kama familia.
Vunjeni ukimya na matatizo ya ndoa yatapungua na 'sio kwisha mind you'. Kwa mfano zungumzeni jinsi ya kila mmoja kupoteza 30% ya uhusika wake. Hii mtashare kama common ground ambayo ndio itakuwa msingi wa ndoa yenu. Inaweza kuwa mawili, matatu au hata manne lakini haiishii kwenye tendo la ndoa, kula pamoja, kulea watoto, ibada, michezo, majukumu ya nyumbani ect.
nilidhani lbd ndoa za kilokole zinaweza kuwa na unafuu!!
Hivi juzi tu hata mwezi haujaisha dada mmoja mpiganaji kweli kweli na mwanamaombi aliolewa na kk mmoja mlokole mwenzie, kweli harusi ilikuwa nzuri!! wiki ile niliyofiwa akaja kunipa pole akiwa na mama mmoja mchungaji rafiki yangu, baada ya kuona muda umeenda sana, nilimuuliza nawewe unakesha?? akasema ndio, nikamuuliza shemeji vipi hata kasirika akasema tumeshaachana!! nilishika mdomo.
kumbe nasikia walitengana baada ya week 2 tu!! yule mama mchungaji aliniambia kuwa baada ya tu ya siku 2 za ndoa akaanza kusuluhisha kesi zao mpaka mwisho amechoka.
Nikasema duh!! kwakweli kuna haja ya kuendelea kuwa single mpaka kieleweke!!!
unatakiwa kubalance baina ya uvumilivu na mateso, hivi kama nina uhakika mai waifu anamgaia uroda jirani yetu ndio nivumilie tu kwa ajili ya watoto? khaaaa! si nitakufa bila symptoms?,
on the other hand uko right kama makosa yenyewe ni kunuka kikwapa, sijui asubuhi anachelewa kupiga msuwaki, sjui akinuna havai nguo za ndani, n.k , hapa tunapaswa kufikiria watoto
Ulokole peke yake hautoshi kusimamisha ndoa...
Ndoa ina nguzo zake, kama kuheshimiana, kusikilizana, Upendo, Hekima etc etc...
Msipotumia hizo nguzo , hata kama mtageuza Biblia kuwa mito ya kulalia kichwani, it wont work out!
Nakuchukia sana kuachana...Kwa namna yoyote, kuachana hakuleti matokeo mazuri, hata kama ni kuokoa uhai wa mmojawapo!
Kugombana kupo kwenye familia kila siku, lakini mimi naichukulia hii kama fursa nzuri sana inayopelekea KUPATANA baadaye, na hakuna tendo zuri kama wawili wakaapo pamoja chumbani na kuweka mambo sawa, maana mnaweza mkaishia kushusha mapazia nje ya ratiba, ha ha haaa!.