February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Wakuu habari,
Kwa wale wazoefu kwenye hizi kazi za kuchomekea naombeni mje mtupe mbinu sisi tunaoanza kwenye kunegotiate mishahara.
Naanza mimi;
Tip: kitu kimoja nimegundua katika mwanzo wa career ni kuwa bonuses ni nzuri kuliko mshahara mkubwa.
Mwanzoni nilikuwa nanegotiate mshahara mkubwa bila kujali bonuses, mfano nataka nilipwe 1.5M bila bonus, wakati ni heri ningetaka mshahara wa 1M na bonus za laki 5. Maana bonus hazikatwi Kodi, HESLB, NSSF, PAYE nk.
Ila huo mshahara wa 1.5M unaweza kwenda kukuta take home ni laki 8 na ushee
Ni heri ulipwe 1M ambayo ikikatwa take home yake ni laki 7 lakini ujumlishiwe bonus zile laki5 itafika atleast milioni.
Wajuzi wengine naomben muongezee mbinu.