Tupeane Mikasa ya Mapenzi: Kwanini pamoja na kumnyandua kimtelezo mara kadhaa siku hizi mademu wana nguvu ya kupotezea?

Siku hizi wanawake wanapiga "hit and run" na akishakula mara moja harudii tena kuna siku tumekutana washkaji zaidi ya wanne demu katuzunguka wote katumega na hataki mazoea we unaongea nini?

Zamani hata wake za watu tulikua tunaambiwa ooh mwanamke akishatoka nje anahamisha mapenzi, siku hizi mwanamke anatoka nje na akirudi macho makavu anakomaa na penzi la mumewe humuambii kitu..! Maisha yanaenda kasi sana..
Duuh huyo demu ni mwanafunzi au wa kitaa alowamega mtu 4 wote?
 
Mnamegwa kimasihara kenge nyie🤣🤣
 
Hii maada inataka kushare visa, kuprove au kudisprove kwa visa ama mifano,, mfano these days mademu wanakubali one night stand, what has changed with macro and micro situations governing love affairs
 
20240331_165853.jpg
 
All’s fair in love and war. If you feels like someone doesn’t deserve a second chance, don’t second-guess… you owes nobody’s anything.

And if you want to receive a genuine love, you must first stop playing mind games, you will meet the genuine one.

All the best.
Kweli ngeli bado majanga kwa wabongo
 
Siku hizi wanawake wanapiga "hit and run" na akishakula mara moja harudii tena kuna siku tumekutana washkaji zaidi ya wanne demu katuzunguka wote katumega na hataki mazoea we unaongea nini?

Zamani hata wake za watu tulikua tunaambiwa ooh mwanamke akishatoka nje anahamisha mapenzi, siku hizi mwanamke anatoka nje na akirudi macho makavu anakomaa na penzi la mumewe humuambii kitu..! Maisha yanaenda kasi sana..
Hahahhaa
Nimecheka Sana!!!!
 
Duuh huyo demu ni mwanafunzi au wa kitaa alowamega mtu 4 wote?
Kuna kisa kama hiko nilikishuhudia Morogoro, one student akaitwa na jamaa na jamaa anajisifia mbele ya masela kumbe demu ashatoka na wale jamaa na demu alipofika aliwakazia jamaa wale kama hawajui vile. Acha maisha yawe maisha na Hadithi ni mapito tu
 
Back
Top Bottom