Tupeane Mikasa ya Mapenzi: Kwanini pamoja na kumnyandua kimtelezo mara kadhaa siku hizi mademu wana nguvu ya kupotezea?

Duuh huyo demu ni mwanafunzi au wa kitaa alowamega mtu 4 wote?
 
Mnamegwa kimasihara kenge nyie🤣🤣
 
Hii maada inataka kushare visa, kuprove au kudisprove kwa visa ama mifano,, mfano these days mademu wanakubali one night stand, what has changed with macro and micro situations governing love affairs
 
Kweli ngeli bado majanga kwa wabongo
 
Hahahhaa
Nimecheka Sana!!!!
 
Duuh huyo demu ni mwanafunzi au wa kitaa alowamega mtu 4 wote?
Kuna kisa kama hiko nilikishuhudia Morogoro, one student akaitwa na jamaa na jamaa anajisifia mbele ya masela kumbe demu ashatoka na wale jamaa na demu alipofika aliwakazia jamaa wale kama hawajui vile. Acha maisha yawe maisha na Hadithi ni mapito tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…