Tupeane misemo kipindi cha corona.

Tupeane misemo kipindi cha corona.

DAD'S SON

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
392
Reaction score
466
Naomba udondoshe msemo/misemo yoyote inayoendana na kipindi hiki cha corona.


Mimi naanza
1.mficha uchi hazai.
2.akufae kwa dhiki ndie rafiki.
3.kunguru muoga uishi miaka mingi
4.mbio za sakafuni huishia ukingoni
5.mtaka yote hukosa yote.


N.B hata wa kingereza dondosha tutaelewana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
vaa barakoa zilizothibitishwa na wataalamu wa afya
 
Back
Top Bottom