Hapo kwenye utapeli msimsahau Perimeterwazo zurii, m nahisi iwe kwa wote,
waliotapeliwa na waliofanya biashara vizuri, wenaofanya biashara kiuhakika na wanaofanya biashara kiujanja ujanya,
pande zote, mteja na muuzaji, maana sio tu muuzaji ndio tapeli
ngoja aje youngkatoAlikutapeli nini kiongozi?
Atakuja kueleza @youngkatoFunguka mkuu,ndio mrejesho wenyewe huo
Jamaa ni tapeli tuHivi alisharudisha pesa ya watu??
anakaa dirishan anaanza kukuchek wakat unahangaika kupiga smu anaanza kusema khaaa kumbe hornest ndo mrembo hivi[emoji13][emoji39][emoji39][emoji39] kama nakuona hvHumu biashara zipo
Nilichogundua wateja wala hawana kelele
Yaani ni wasomaji tuu na wapo vizuri
Ila pia wasumbufu wapo,
Nilishawahi kupigwa simu
Mwingine anaagiza suruali ukifika eneo la tukio hapokei simu!
Sijui anataka tu kujua Hornet kafananaje! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
anakaa dirishan anaanza kukuchek wakat unahangaika kupiga smu anaanza kusema khaaa kumbe hornest ndo mrembo hivi[emoji13][emoji39][emoji39][emoji39] kama nakuona hv
Kweli kabisa, wateja wa kweli huwa hawana maneno sana kwenye uzi bali vitendo!Humu biashara zipo
Nilichogundua wateja wala hawana kelele
Yaani ni wasomaji tuu na wapo vizuri
Ila pia wasumbufu wapo,
Nilishawahi kupigwa simu
Mwingine anaagiza suruali ukifika eneo la tukio hapokei simu!
Sijui anataka tu kujua Hornet kafananaje! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nshawahi fanya biashara ya pc used sasa ile unamfata mteja anakwambia sijaridhika nayo hapo umepoteza vocha,boda,na mda wako nkaona huu ujnga nkawa namwelekeza mteja AnifateSiku hizi naagiza bodaboda ama namwambia mteja afate sehemu fulani
Kweli kabisa, wateja wa kweli huwa hawana maneno sana kwenye uzi bali vitendo!
Umenikumbusha mpuuzi mmoja alinichomesha mahindi na bidhaa zangu mpaka basi, kila nikimpigia simu anasema anakaribia kufika kumbe mwongo. Kuna watu wanakera sana aisee