Tupeane mrejesho hasa kwa hawa wafanyabiashara humu!

Tupeane mrejesho hasa kwa hawa wafanyabiashara humu!

Mimi nimepata wateja wengi wa kudumu. wamekuwa hadi marafiki nje ya JF. Tatizo wao wananijua ID yangu na mimi mwenyewe ila wao wapo humu siwajui IDs zao.
 
Hawa wa Jf unakuta anataka tu akuone

Halafu mara kibao nimekuwa naagiza mtu,akimwona anahisi ni mimi
Akija Jf anaanza kujifanya ananijua

Kama mtu anataka kufahamaiana si bora kuwa wazi kuliko kumweka mtu kwenye mode ya biashara kumbe michosho tu
Ila mimi uliniletea mwenyewe...
 
Kuna fundi nilimpa kazi humu, aisee alinipasua kichwa ila ile kazi aliifanya kwa kiwango cha juu sana kiasi kwamba itabidi nimpe kazi tena!
 
Hii ni jamii kubwa kuna kila aina ya binadamu. Mimi nashukuru nakutana na watu wanaojielewa.
Kuna member humu nilimtumia Mlonge DSM nilijua tu kuwa akipokea mzigo atalala nao mbele, Aisee sikuamini alinitumia Pesa yangu mpaka ya kutolea.
 
Kuna fundi nilimpa kazi humu, aisee alinipasua kichwa ila ile kazi aliifanya kwa kiwango cha juu sana kiasi kwamba itabidi nimpe kazi tena!
JF kuna watu waaminifu sana. Itanibidi nilete bidhaa zangu
 
Back
Top Bottom