Ila mimi uliniletea mwenyewe...Hawa wa Jf unakuta anataka tu akuone
Halafu mara kibao nimekuwa naagiza mtu,akimwona anahisi ni mimi
Akija Jf anaanza kujifanya ananijua
Kama mtu anataka kufahamaiana si bora kuwa wazi kuliko kumweka mtu kwenye mode ya biashara kumbe michosho tu
Ila mimi uliniletea mwenyewe...
Hii ni jamii kubwa kuna kila aina ya binadamu. Mimi nashukuru nakutana na watu wanaojielewa.Kumbe JF kuna wateja waaminifu
Kuna member humu nilimtumia Mlonge DSM nilijua tu kuwa akipokea mzigo atalala nao mbele, Aisee sikuamini alinitumia Pesa yangu mpaka ya kutolea.Hii ni jamii kubwa kuna kila aina ya binadamu. Mimi nashukuru nakutana na watu wanaojielewa.
JF kuna watu waaminifu sana. Itanibidi nilete bidhaa zanguKuna fundi nilimpa kazi humu, aisee alinipasua kichwa ila ile kazi aliifanya kwa kiwango cha juu sana kiasi kwamba itabidi nimpe kazi tena!
Jamaa ni tapeli tu