Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wadau haya maisha si wakati wote mtu unachora kumi na moja au matuta usoni. Utazeeka au kufa kwa sononi bure. Hebu hapa tuwasaidie wale wanaotaka kujiua angalau wafurahi waahirishe.
Kuna jamaa mmoja kijijini nlikuta wanasimulia kuwa jamaa alikuwa mvivu haijapata tokea. Siku hiyo ndo alikuwa anazikwa. Wanasema alikuwa mvivu mpaka siku moja home kwao umewashwa moto sasa kabla haujakolea alikuwa ameusogelea sana.
Ukanzaa kolea ukawa moto mkali wenzake wakasogea nyuma yeye akawa anajisikia uvivu kusogea akaanza kuungua kwenye mapaja.akawa anaugulia tu huku ametulia.mpaka moto ulipoisha mapaja yake yalikuwa kama ndafu.
Wanasema hiyo ilikuwa part one. Part two walienda msituni kuwinda wakawa wamekula sungura wa kuchoma wameshiba amelala chini ya mti ya mti mmoja una utomvu una sumu.
Sasa pale chini akawa amelala chali anaangalia juu.akamwona kunguru anahangaika kuila nyama akidonoa kumbe anadonoa hadi kwenye mti. Ule mti ukaanza dondosha utomvu.jamaa akaona unamdondokea usoni.akajisikia uvivu kusogea pembeni. Ukamdondokea machoni akapata upofu.
Ya mwisho wanasema siku hiyo anazikwa jamaa alikufa kizembe. Aliumwa na nyoka mwenye sumu. Akaona uvivu kupiga kelele au kuamka.akatulia tu pale pale chini jamaa wanakuja wanamkuta ameshabadilika kuwa wa blue.ndo aka dead hapo hapo.
Jamaa alikuwa mvivu acha kabisa. Nikawaza huu uvivu si wakawaida itakuwa alikuwa na pepo.