[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Anza kutiwa mdogo mdogo na hao wa mtaani, ukimaliza wote utakuwa famous hapo mtaani baadae famous Tanzania kiujumla.
Mbuyu ulianza kama mchicha
Hapa mtaani hamna wenye hela hlf na huu uheshimiwa wangu wengi wananiogopa kunitongozaAnza kutiwa mdogo mdogo na hao wa mtaani, ukimaliza wote utakuwa famous hapo mtaani baadae famous Tanzania kiujumla.
Mbuyu ulianza kama mchicha
Sijui nakwama wap lakini ni mwanasiasa n mwandishiJi brand kupitia social media mfano kipaji, elimu, fani, sanaa, biashara na mitazamo.
Upo wapi kwenye hivi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anza kutiwa mdogo mdogo na hao wa mtaani, ukimaliza wote utakuwa famous hapo mtaani baadae famous Tanzania kiujumla.
Mbuyu ulianza kama mchicha
Hilo siwezi mkuu nina mipaka yanguNjoo Pm nkupe deal la skendo ya picha za utupu utajulikana kuliko hata Pierre Liquid
No 2,3, na 6 zinanihusu kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vitu vinavyowa watu umaarufu ni
1.siasa
2.Uwanamitindo
3.uigizaji
4.umiss
5.uchekeshaji
6.uimbaji
Ukikomaa hata na kimoja wapo happo juu lazima uwe Maarufu
Chura ninayo rangi ya mtume ninayo na sura nzuri babe face ninayo tatizo ni ntawapa wap? Au mbinu ndiyo sijui?Kitembeze kwa watu maarufu...it's a sure way with proven reliability and statistical Backing Up, ila una Chura? Hata ya kununua?
Shiriki kwenye makongamano, toa hoja pia vumbua changamoto zilizopo ktk jamii iliyokuzunguka na tafuta solution.Mi ni mwanasiasa lakini sijui siyo mbunifu? Na sijui nifanyaje hata
Bahati mbaya sana umaarufu na mabwana nawataka ila mi ni mpole ni taip za kina klyne yaan nina mipaka yangu na heshima pis mbele za watuMkuu toa clip yako ya connection nakuhakikishia siku moja tu utajulikana Tanzania nzima.
Njoo nikupeleke kwenye kundi la Chriss Mhengga linaitwa MEGA ART GROUPNo 2,3, na 6 zinanihusu kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anza kujibrand hapa JF.Chura ninayo rangi ya mtume ninayo na sura nzuri babe face ninayo tatizo ni ntawapa wap? Au mbinu ndiyo sijui?
Liko wapi hilo?Njoo nikupeleke kwenye kundi la Chriss Mhengga linaitwa MEGA ART GROUP
Linahusika na nini?Njoo nikupeleke kwenye kundi la Chriss Mhengga linaitwa MEGA ART GROUP
Nipe mbinu,
Iko wapAu Jiunge Freemason
Asante!!!!Shiriki kwenye makongamano, toa hoja pia vumbua changamoto zilizopo ktk jamii iliyokuzunguka na tafuta solution.
Una mipaka yako na unaheshima mbele za watu..na bado unautaka usuperstar wa bongo..hapo ndio unapokwama...kuwa super star bongo ni lazima uachane na hivyo vitu yaani usiwe na mshipa wa aibu....achana na mambo ya mipaka na aibu mbele za watu...si unacheki role model wako Uwoya...hana mshipa wa aibu yule..au angalia ka Mabeto hakana sijui mipaka wala nini!Bahati mbaya sana umaarufu na mabwana nawataka ila mi ni mpole ni taip za kina klyne yaan nina mipaka yangu na heshima pis mbele za watu
Labda kidooogo uigizaji tuNo 2,3, na 6 zinanihusu kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa super star., Ni kama vile nahisi ukiwa star ndiyo hata mabwana wenye pesa unawapata maana siye wengine tunaitwa warembo huku mtaani lakini dah! Mabwana wa maana hata hatuwapati, gigs za maana hakuna kabisa sijui tunakosea wap[emoji12]
Uzi tayari!