Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

Anza kutiwa mdogo mdogo na hao wa mtaani, ukimaliza wote utakuwa famous hapo mtaani baadae famous Tanzania kiujumla.

Mbuyu ulianza kama mchicha
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Anza kutiwa mdogo mdogo na hao wa mtaani, ukimaliza wote utakuwa famous hapo mtaani baadae famous Tanzania kiujumla.

Mbuyu ulianza kama mchicha
Hapa mtaani hamna wenye hela hlf na huu uheshimiwa wangu wengi wananiogopa kunitongoza
 
Vitu vinavyowa watu umaarufu ni
1.siasa
2.Uwanamitindo
3.uigizaji
4.umiss
5.uchekeshaji
6.uimbaji

Ukikomaa hata na kimoja wapo happo juu lazima uwe Maarufu
No 2,3, na 6 zinanihusu kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitembeze kwa watu maarufu...it's a sure way with proven reliability and statistical Backing Up, ila una Chura? Hata ya kununua?
Chura ninayo rangi ya mtume ninayo na sura nzuri babe face ninayo tatizo ni ntawapa wap? Au mbinu ndiyo sijui?
 
Mkuu toa clip yako ya connection nakuhakikishia siku moja tu utajulikana Tanzania nzima.
Bahati mbaya sana umaarufu na mabwana nawataka ila mi ni mpole ni taip za kina klyne yaan nina mipaka yangu na heshima pis mbele za watu
 
Bahati mbaya sana umaarufu na mabwana nawataka ila mi ni mpole ni taip za kina klyne yaan nina mipaka yangu na heshima pis mbele za watu
Una mipaka yako na unaheshima mbele za watu..na bado unautaka usuperstar wa bongo..hapo ndio unapokwama...kuwa super star bongo ni lazima uachane na hivyo vitu yaani usiwe na mshipa wa aibu....achana na mambo ya mipaka na aibu mbele za watu...si unacheki role model wako Uwoya...hana mshipa wa aibu yule..au angalia ka Mabeto hakana sijui mipaka wala nini!
 
Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa super star., Ni kama vile nahisi ukiwa star ndiyo hata mabwana wenye pesa unawapata maana siye wengine tunaitwa warembo huku mtaani lakini dah! Mabwana wa maana hata hatuwapati, gigs za maana hakuna kabisa sijui tunakosea wap[emoji12]

Uzi tayari!

Hakuna mke hapa
 
Back
Top Bottom