Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa super star., Ni kama vile nahisi ukiwa star ndiyo hata mabwana wenye pesa unawapata maana siye wengine tunaitwa warembo huku mtaani lakini dah! Mabwana wa maana hata hatuwapati, gigs za maana hakuna kabisa sijui tunakosea wap[emoji12]

Uzi tayari!
Nenda sehemu wanakopatikana wenye pesa na uwe na pesa ya msosi bia na usafiri
 
Bila kuwa na picha ya utupu ama kuloga abadani huwa superstar
Yaani bila kuwa karibu na shetani sahau kuwa maarufu.
LOGA MAMA LOGA LOGA KALOGE YAANI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nionyeshe mganga wa kwel bas jaman nichangamke mie
 
Kuwa star kazi mpendwa, hata Mimi nilipenda kuwa star Ila uachekazi ufanye kazi, mpaka nilikuwa na marafk star, ningekuwa, Ila majukumu na umbali wa bongo, Ila nilichopenda sio sababu ya kuwa na mabwana, kujulikana tu Kama kina roza Lee, na kumake bingo.
Niambie ulipoanzia namie nianze
 
Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa super star., Ni kama vile nahisi ukiwa star ndiyo hata mabwana wenye pesa unawapata maana siye wengine tunaitwa warembo huku mtaani lakini dah! Mabwana wa maana hata hatuwapati, gigs za maana hakuna kabisa sijui tunakosea wap[emoji12]

Uzi tayari!
mimi nakupa nguo ya wonder women.
 
njoo tutoe connection ya dhambi utanishukuru badae[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mcheki machozi..akupe tips za utoke vipi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Anza kutiwa mdogo mdogo na hao wa mtaani, ukimaliza wote utakuwa famous hapo mtaani baadae famous Tanzania kiujumla

Mbuyu ulianza kama mchicha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama wema lakini niwe na nahongwa kama uwoya halaf niwe na akili ya kuwekeza kama bakhresa nataka niwe na king'amuzi changu na kiwanda kikuubwa cha nyara ya serikali kama sukari hivi au mafuta ya kula

Sijui nilitaka ni comment nini...
 
Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa super star., Ni kama vile nahisi ukiwa star ndiyo hata mabwana wenye pesa unawapata maana siye wengine tunaitwa warembo huku mtaani lakini dah! Mabwana wa maana hata hatuwapati, gigs za maana hakuna kabisa sijui tunakosea wap[emoji12]

Uzi tayari!
Si uingie telegram urushe madude ukiwa kama unaruka na ungo
 
Niambie mambo anayofanya gigy money wewe kwa mtazamo wako unayaonaje? Nikijua tu unayaonaje ntajua kama unaweza kua star au la

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom