Mr nobby
Senior Member
- Aug 25, 2023
- 196
- 395
Wakubwa habarii za wakati huuu! Huu ni Uzi maalumu juu ya ajira zilizo tangazwa na idara ya uhamiaji hivi karibuni.
Binafsi nafanya application lakini sijafanikiwa kufika mwisho, nikisha log in tu sion maelekezo mengne yanayofatia.
Je Kuna miongoni mwetu/ ndugu/ mtu wake wa karibu amefanikisha kutuma maombi? Kama yupo anisaidie mbinu alizotumia.🙏