Hizi ajira zinatangazwa lakini tunashindwa kujua huwa zinapatinajeWakubwa habarii za wakati huuu! Huu ni Uzi maalumu juu ya ajira zilizo tangazwa na idara ya uhamiaji hivi karibuni.
Binafsi nafanya application lakini sijafanikiwa kufika mwisho, nikisha log in tu sion maelekezo mengne yanayofatia.
Je Kuna miongoni mwetu/ ndugu/ mtu wake wa karibu amefanikisha kutuma maombi? Kama yupo anisaidie mbinu alizotumia.🙏
hebu tuma picha tukusaidieMimi nimeingiza details za form 4 ikakubali, nikiweka za form 6 inaandika Information mismatching, nimewatumia email kuomba msaada hawajanijibu na simu Yao ya mezani hai connect sababu hawajalipia service charge, Niko njia panda
Picha ya nn?hebu tuma picha tukusaidie
ok naweza kukusaidiaa ukitaka tafazaliPicha ya nn?
Shusha nondo Mkuu, hapa hapaok naweza kukusaidiaa ukitaka tafazali
mimi nipo na laptop nilikuwa natk nikufanyie kam msaada maan namim kiuna wakati ili goma kam ivo ila nikaeka mambo fresh so kwa msaada unatakiwa uweke cheti cha formsix kisha cha form fourShusha nondo Mkuu, hapa hapa
Mkuu details za form four ndo zimekubali, nikiweka za Six unagoma kabisamimi nipo na laptop nilikuwa natk nikufanyie kam msaada maan namim kiuna wakati ili goma kam ivo ila nikaeka mambo fresh so kwa msaada unatakiwa uweke cheti cha formsix kisha cha form four
niilikuambia mwanzo lkn naweza kukus\idia nikakufanyia kam msaada tuy kam hutojali ila any way maamuzi ni yako ww maan mambo mengin sijui inikueleze vp kwa kweliMkuu details za form four ndo zimekubali, nikiweka za Six unagoma kabisa