Hawana mambo mengi,hakikisha unanaccount katika bank hudika dhamana muhimu kama kawaida ribapia ni affordable.Riba na masharti Yao yakoje
Kuchomoka kwenye mikopo ya bank ni jambo gumu sana....linahitaji mkakati wa kweliKila la kheri. Na hongera in advance kama utaweza kuchomoka baada ya kuingia huko. Ila pole in advanve pia mkopo ukienda ndivyo sivyo. Yakwangu ni hayo
Ukinasa humo kuchomoka ni ngumuKuchomoka kwenye mikopo ya bank ni jambo gumu sana....linahitaji mkakati wa kweli
Inawezekana Sana mkuu, Mimi nimechukua mwezi wa tatu CRDB 11milion mwezi wa Saba naenda kuwalipa hela yao yote tufunguane mashati. Japo inahitaji kuvaa mabomu kwa hali ya juu Sana.Kuchomoka kwenye mikopo ya bank ni jambo gumu sana....linahitaji mkakati wa kweli
Tusaidie ulifanya biashara gani??.Inawezekana Sana mkuu, Mimi nimechukua mwezi wa tatu CRDB 11milion mwezi wa Saba naenda kuwalipa hela yao yote tufunguane mashati. Japo inahitaji kuvaa mabomu kwa hali ya juu Sana.
Mzee wa kubet huyoTusaidie ulifanya biashara gani??.