Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko

Asantni[emoji120]
Siti ya mbele kabisa mkuu, ngoja tuwasubiri wajuzi wa mambo waje tuambia
 
Back
Top Bottom