Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Kusema Interview Hadi Mwezi Wa 9 Sio Kwelii... Labda Kwa Utaratibu Wao Wa Mwaka Huu Ila Kwa Navyo fahamu Hata Usaili Za Nyuma Mara Nyingi Huwa Ni Miezi 2 Au Moja Na Nusu Ndo HUFANYIKA...

Ila Kuitwa Kwenda CCP Kuripoti Kwa Mafunzo Huchukua Miezi 2

Me Nadhani Majina Ya Usaili Kutoka Yamechelewa Sana Na Yatachelewa Sababu Ya Wingi Wa Watu Walioomba Nafasi Kadhaa..

Hivi Fikiria Mtu Yoyote Yule Mwenye Vigezo Ameomba Bila Hata Kuzingatia Vigezo Vya VYETI VYA JKT...

ME NAAMINI HATA USAILI WATAITWA WENGI SANA NA MCHAKATO UTAKUWA MREFU ZAIDI....

Muhimu Wakuu Wakati Nasubiri Usaili Endeleeeni Kufanya Issue Nyingine Wakati Mkisubiri Usaili
pamoja mkuu👊
 
Sina Uhakika Sana Kwamba Madogo Wa Form 6 Waliopo MaKambini Ndo Wanasubiriwa...

Japo Nawaza Itakuwa Waliombewa Nafasi Na Wazazi/Ndugu Zao Au Wenyewe Waliibia Muda Waka Apply Kwa Mtandao Maana Kama Sikosei Walikuwa Kwenye Mitihani Kipindi Cha Tangazo La Ajira Lilivyotolewa...

Ila Pia Nawaza Watakuwa Wameomba Nafasi Kupitia Elimu Ya Kidato Cha Nne Maana Cha Sita Uongo Vyeti Bado Havijatoka Hadi Mwezi Wa 4 Mwakani...

Kama Ni Kwelii Basi Ni Sawa Waje Wapambane Kwenye Usaili Pia
Mpaka madogo watoke jkt kule after two week ndo mtaitwa usaili
 
Sina Uhakika Sana Kwamba Madogo Wa Form 6 Waliopo MaKambini Ndo Wanasubiriwa...

Japo Nawaza Itakuwa Waliombewa Nafasi Na Wazazi/Ndugu Zao Au Wenyewe Waliibia Muda Waka Apply Kwa Mtandao Maana Kama Sikosei Walikuwa Kwenye Mitihani Kipindi Cha Tangazo La Ajira Lilivyotolewa...

Ila Pia Nawaza Watakuwa Wameomba Nafasi Kupitia Elimu Ya Kidato Cha Nne Maana Cha Sita Uongo Vyeti Bado Havijatoka Hadi Mwezi Wa 4 Mwakani...

Kama Ni Kwelii Basi Ni Sawa Waje Wapambane Kwenye Usaili Pia
Hata mm hii yakusema tunawasubir vijana wa form6 mpka wamalize imenishangaza kwakwel🤔
 
Tumia akili bas na ww hata ile ya kuzaliwa tu inatosha mkuu….kat yang mm na yeye nan amemkashfu mwezie apo ama wapi mm nimemkashfu??🤔…..nanukuu alichokiandika “nyie ndo mnaotaka kuingia kazini mnawaza hela tu na kusumbua watu kwa rushwa” sasa anaanzaje kuniambia mm hivo kua ntasumbua watu na rushwaa hivii ni sawa hata kwako ungeambiwa hivo??…….ni kweli alikurupuka lait angekua amepitia post za nyuma vzr asingeniandikia hivyo, swala la kuulizia mishahara sidhani kama ni dhambi mpka yy aniambie hivo na pia lengo lakuulizia hivyo ni ili nipate usahihi sabab yupo aliepost mishahara humu ya polis na ikasemekana sio kweli alichokipost na mwana jf mmoja akajitolea kua kuna siku atasema jinsi mishahara inavyolipwa na ndo huyu niliekua namkumbusha atuambie.
Nakumbuka Nilisema Nitakazia Maarifa Kwenye Mishahara Na Allowance..

Japo Kuna Mkuu Aliongolea Vema Sana Kuhusu Mishahara Yao..

Sikukosoa Ila Nilisema Kwamba Nitakazia Maarifa Zaidi...

Sidhani Kama Kuna Ubaya Watu Kujua Mishahara Ya Taasisi Mbalimbali Za Kiserikali Bila Kupotosha Maana Ya Ukweli Uliopo...

Nitasemea Mishahara Kwa Baadhi Ya RANK Za Chini Maana Ndo Ambazo Tutakaa Navyo Kwa Miaka Almost 5...

Mishahara Huwa Ni Ya Kawaida Japo Makato Ndo Huwa Yanadidimiza TAKE HOME (Hela Utakayopata Baada Ya Makato Mbalimbali)..

Muhimu Ukiingia Kwenye TAASISI HII YA KIJESHI (ZOTE) Kusoma Ndo Jambo Muhimu Sana.... Mshahara Mkubwa Unaendana (PROPORTIONAL) Na Jinsi Utakavyojitahidi Kusoma...

Stay Tuned
 
Tangazo wakat linatoka may10 nafikr wao walikua shule hata mtihan wa kumaliza hawajaanza….na hata ivo vyeti hawana sasa sijui inakuaje apo
 
Sina Uhakika Sana Kwamba Madogo Wa Form 6 Waliopo MaKambini Ndo Wanasubiriwa...

Japo Nawaza Itakuwa Waliombewa Nafasi Na Wazazi/Ndugu Zao Au Wenyewe Waliibia Muda Waka Apply Kwa Mtandao Maana Kama Sikosei Walikuwa Kwenye Mitihani Kipindi Cha Tangazo La Ajira Lilivyotolewa...

Ila Pia Nawaza Watakuwa Wameomba Nafasi Kupitia Elimu Ya Kidato Cha Nne Maana Cha Sita Uongo Vyeti Bado Havijatoka Hadi Mwezi Wa 4 Mwakani...

Kama Ni Kwelii Basi Ni Sawa Waje Wapambane Kwenye Usaili Pia
Ni hivo mkuu hata mi niliwaza kwanini mpaka madogo wamalize kuna uhusiano gani..

Ila ndio hivo baada ya madogo kuchomoka kule tarh 20 na kitu ndio hizi harakati zitakua active..

Sasa hvi hakuna mchakato unaoendelea kuhusu hizi nafasi zilizoombwa
 
Kusema Interview Hadi Mwezi Wa 9 Sio Kwelii... Labda Kwa Utaratibu Wao Wa Mwaka Huu Ila Kwa Navyo fahamu Hata Usaili Za Nyuma Mara Nyingi Huwa Ni Miezi 2 Au Moja Na Nusu Ndo HUFANYIKA...

Ila Kuitwa Kwenda CCP Kuripoti Kwa Mafunzo Huchukua Miezi 2

Me Nadhani Majina Ya Usaili Kutoka Yamechelewa Sana Na Yatachelewa Sababu Ya Wingi Wa Watu Walioomba Nafasi Kadhaa..

Hivi Fikiria Mtu Yoyote Yule Mwenye Vigezo Ameomba Bila Hata Kuzingatia Vigezo Vya VYETI VYA JKT...

ME NAAMINI HATA USAILI WATAITWA WENGI SANA NA MCHAKATO UTAKUWA MREFU ZAIDI....

Muhimu Wakuu Wakati Nasubiri Usaili Endeleeeni Kufanya Issue Nyingine Wakati Mkisubiri Usaili
Mkuu bado mchakato wa haya majina ujaanza ujue...

Pia hii issue ni System usizani mchakato utakua complex kama unavozania...
 
Kusema Interview Hadi Mwezi Wa 9 Sio Kwelii... Labda Kwa Utaratibu Wao Wa Mwaka Huu Ila Kwa Navyo fahamu Hata Usaili Za Nyuma Mara Nyingi Huwa Ni Miezi 2 Au Moja Na Nusu Ndo HUFANYIKA...

Ila Kuitwa Kwenda CCP Kuripoti Kwa Mafunzo Huchukua Miezi 2

Me Nadhani Majina Ya Usaili Kutoka Yamechelewa Sana Na Yatachelewa Sababu Ya Wingi Wa Watu Walioomba Nafasi Kadhaa..

Hivi Fikiria Mtu Yoyote Yule Mwenye Vigezo Ameomba Bila Hata Kuzingatia Vigezo Vya VYETI VYA JKT...

ME NAAMINI HATA USAILI WATAITWA WENGI SANA NA MCHAKATO UTAKUWA MREFU ZAIDI....

Muhimu Wakuu Wakati Nasubiri Usaili Endeleeeni Kufanya Issue Nyingine Wakati Mkisubiri Usaili
Ishu nyingine ishu gani mkuu mnazofanya huku mtaani
 
Kalaga baho hutak upitwe na kitu😂😂😂😂
Yan mkuu kichwa kishapata moto hapa kila siku habari hazizungumzwi kwa uhakika. Inakuaje wakuu? Watoe hayo majina tukafie mbele kwa mbele
Ni hivo mkuu hata mi niliwaza kwanini mpaka madogo wamalize kuna uhusiano gani..

Ila ndio hivo baada ya madogo kuchomoka kule tarh 20 na kitu ndio hizi harakati zitakua active..

Sasa hvi hakuna mchakato unaoendelea kuhusu hizi nafasi zilizoombwa
Tarehe 20 ya mwez wa ngapi mzee?
 
Back
Top Bottom