Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

pamoja mkuu👊
 
Sina Uhakika Sana Kwamba Madogo Wa Form 6 Waliopo MaKambini Ndo Wanasubiriwa...

Japo Nawaza Itakuwa Waliombewa Nafasi Na Wazazi/Ndugu Zao Au Wenyewe Waliibia Muda Waka Apply Kwa Mtandao Maana Kama Sikosei Walikuwa Kwenye Mitihani Kipindi Cha Tangazo La Ajira Lilivyotolewa...

Ila Pia Nawaza Watakuwa Wameomba Nafasi Kupitia Elimu Ya Kidato Cha Nne Maana Cha Sita Uongo Vyeti Bado Havijatoka Hadi Mwezi Wa 4 Mwakani...

Kama Ni Kwelii Basi Ni Sawa Waje Wapambane Kwenye Usaili Pia
Mpaka madogo watoke jkt kule after two week ndo mtaitwa usaili
 
Hata mm hii yakusema tunawasubir vijana wa form6 mpka wamalize imenishangaza kwakwel🤔
 
Nakumbuka Nilisema Nitakazia Maarifa Kwenye Mishahara Na Allowance..

Japo Kuna Mkuu Aliongolea Vema Sana Kuhusu Mishahara Yao..

Sikukosoa Ila Nilisema Kwamba Nitakazia Maarifa Zaidi...


Sidhani Kama Kuna Ubaya Watu Kujua Mishahara Ya Taasisi Mbalimbali Za Kiserikali Bila Kupotosha Maana Ya Ukweli Uliopo...

Nitasemea Mishahara Kwa Baadhi Ya RANK Za Chini Maana Ndo Ambazo Tutakaa Navyo Kwa Miaka Almost 5...

Mishahara Huwa Ni Ya Kawaida Japo Makato Ndo Huwa Yanadidimiza TAKE HOME (Hela Utakayopata Baada Ya Makato Mbalimbali)..

Muhimu Ukiingia Kwenye TAASISI HII YA KIJESHI (ZOTE) Kusoma Ndo Jambo Muhimu Sana.... Mshahara Mkubwa Unaendana (PROPORTIONAL) Na Jinsi Utakavyojitahidi Kusoma...

Stay Tuned
 
Tangazo wakat linatoka may10 nafikr wao walikua shule hata mtihan wa kumaliza hawajaanza….na hata ivo vyeti hawana sasa sijui inakuaje apo
 
Ni hivo mkuu hata mi niliwaza kwanini mpaka madogo wamalize kuna uhusiano gani..

Ila ndio hivo baada ya madogo kuchomoka kule tarh 20 na kitu ndio hizi harakati zitakua active..

Sasa hvi hakuna mchakato unaoendelea kuhusu hizi nafasi zilizoombwa
 
Mkuu bado mchakato wa haya majina ujaanza ujue...

Pia hii issue ni System usizani mchakato utakua complex kama unavozania...
 
Ishu nyingine ishu gani mkuu mnazofanya huku mtaani
 
Kalaga baho hutak upitwe na kitu😂😂😂😂
Yan mkuu kichwa kishapata moto hapa kila siku habari hazizungumzwi kwa uhakika. Inakuaje wakuu? Watoe hayo majina tukafie mbele kwa mbele
Ni hivo mkuu hata mi niliwaza kwanini mpaka madogo wamalize kuna uhusiano gani..

Ila ndio hivo baada ya madogo kuchomoka kule tarh 20 na kitu ndio hizi harakati zitakua active..

Sasa hvi hakuna mchakato unaoendelea kuhusu hizi nafasi zilizoombwa
Tarehe 20 ya mwez wa ngapi mzee?
 
Yani mambo yamekua kimya kabisa aisee
Anyway ngoja tuone ila habar nilipewa mwez jana ilikuwa ni mwez wa 8 hasa vikosi zanzibar sijui bara ila mm nimeegesha kule. Napitia tovuti za habar kila sik kupata official news sipati. Niko hoi hapa akili na mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…