Nyanzige30
Senior Member
- Mar 18, 2024
- 118
- 269
WAKUU..
Jamaa angu kaniomba ushauri nimekosa majibu. NISAIDIENI NIMSHAURI NINI.. Yeye aliomba JWTZ, UT, TAKUKURU na zote aliitwa kwenye usaili lkn mwsho wa mchezo haitwi mafunzoni! Hakuwahi kuomba Polisi wala Magereza this time kaomba PT lkn hajaitwa hata kwny usaili lkn kuna mwanae waliua wote kidato cha 6, Huyo mwanae akaenda PT sahv ana jiwe moko begani.Sasa jamaa alpoona jina halijatokea akamchek kuulizia Ding kanisend. Mwana kamchana leo km Ana jiwe 4M nafas ipo.. Jiwe 2 atoe mwnzo nyngne amalzie mbeleni na jamaa anasema ana jiwe 5 mabank vp ampe mwana achekeche ama skasuje. Jamaa Ana degree ya Sheria Udom na vyeti vngne km udereva nk