Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Aha
kwa jinsi ambavyo naona mda umepita tokea wa kwanza waingie mwezi wa 9 assume second selection tayari..kwanasa course ua ni miezi mingapi leo ni mwezi wa 5 tokea wanaanze course
Kwa
kwa jinsi ambavyo naona mda umepita tokea wa kwanza waingie mwezi wa 9 i assume second selection tayari..kwan course ua ni miezi mingapi leo ni mwezi wa 5 tokea wanaanze course
Ni minne kaka mbaka sasa mana walienda mwezi wakumi ivi degree walifika ata miatanao?
 
Wakuu kwa mwaka ajira Za CCP zinatoka mara ngapi? Nimepata mbuyu umeniambia nisubiri tangazo uhakika
 
kwa jinsi ambavyo naona mda umepita tokea wa kwanza waingie mwezi wa 9 i assume second selection tayari..kwan course ua ni miezi mingapi leo ni mwezi wa 5 tokea wanaanze course
Ikitokea third selection ni baati sana aisee Tuombe mungu mana wale walienda kitambo sana nimiezi minne imepita sasa
 
Back
Top Bottom