Tupeane updates za ajira za walimu 2024

Tupeane updates za ajira za walimu 2024

Hahah kuna dogo IIIA kawa shortlisted nimeona pia tangazo la PSRS kule IG wakisema kuna changes kwa baadhi zimeanza kuonekana na ambao bado waendelee kupitia profiles zao
 
Waalimu msikatishwe tamaa na watu wa jf.Ajira hizi mtapata kikubwa ni kuweka juhudi sana kwenye kila unachoelekezwa na PSRS.hata kama mmeitwa 300k ila nafasi ni 5 sema moyoni mwaka wangu huu na hao wa 5 mmoja ni mimi. #kaziindelee usisahau kujiandikisha kupiga kura
 
Habari wana JF haya kuna walioona changes kwenye profile zao. Tiririka mwalimu mwaka wako huu
Unadhani Kwanini pdf la waliokuwa shortlisted, limeondolewa kwenye pages za PSRS ?

Asking for a friend.
 
Back
Top Bottom