Tupeane updates za hali ya barabarani baada ya tamko la Mzee Kinana

Tupeane updates za hali ya barabarani baada ya tamko la Mzee Kinana

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Je "uvuli wa mauti ukoje? ie bado marundo yao njiani/barabarani?
2. vizuizi vikoje? ie from one uvuli to another uvuli
3. Ajali vipi?
4. Discipline ya madereva vipi?
........................................................................................
By the way
1. Vikoba vya laki kwa wiki vikoje michango!
2. Moja baridi moja moto uagizaji ukoje? Nyama choma?
3. Nyumba ndogo vipi hazijaleta taabu...
 
hii ndoa kati ya traffic na wenye magari kinana ameiparamia kama wifi mwembamba.


hakuna matokeo yoyote ya maana zaidi ya ahueni kama ya kunywa maji anayoiptana mtu aliyefakamia pili pili.
 
Mi naona hali kama kawaida
Ila kama itatokea dereva anaendesha spidi sabb trafik hawapo barabaran huyo atakuwa hayuko sawa uhai wako mpka usimamiwe na mtu 🙂
 
hii ndoa kati ya traffic na wenye magari kinana ameiparamia kama wifi mwembamba.


hakuna matokeo yoyote ya maana zaidi ya ahueni kama ya kunywa maji anayoiptana mtu aliyefakamia pili pili.
Wifi mwembamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Najaribu kuvuta picha yukoje[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vijana wadogo wa police ndiyo walilileta bara kwa trafic. Walikuwa wanasimamisha magari hovyo bila kujua wanafanya kero nchini.
 
Askari wamefanya kazi kubwa sana kupunguza, kuzuia ajali na kudhibiti usalama barabarani.

Madereva wa bongo tunawajua wenyewe.

Bila kukomaa nao sambamba hali ingekuwa ya kutisha ya ajali barabarani.
 
Magari yenyewe wamiliki wengine wala hawajali muda wa kuyafanyia service kwa mujibu wa user manual.

Akiambiwa boss muda wa service ya gari umefika anauliza Kwani Gari si inatembea? Akijibiwa ndio anasema amsha utambae na mwendo!

Imagine [emoji848][emoji848]

Halafu madereva wakiendesha magari ni mwendokasi na mashindano ya kuwahi kufika!

Je ikitokea hitilafu na huo mwendokasi itakuwaje?
 
Madereva wa kibongo wengi ni non compliants.

Imagine hata maeneo ya mjini taa nyekundu lakini dereva anapita [emoji848][emoji848]

Sasa askari saingine anakuwa bandidu sababu ya aina ya madereva!

Isipokuwa askari wachache ndio wanaponza wenzao kwa kuwa na roho mbaya [emoji57][emoji19] na kutafuta na kulazimisha makosa na kung’ang’ania ma offences.
 
Kazi kubwa sana imefanyika na jeshi la Polisi kudhibiti usalama barabarani.

Ikafika mahala wakawekewa visauti alarming alerts wanapozidi zidi mwendo wa kisheria lakini wakawa wana vikedua,

Wakawa wanapunguza sauti abiria wasisikie kuwa wanakimbizwa mwendokasi.

Siku hizi wanawawekea video ili kuwavunga maboya wasistukie
Mwendokasi!

Bila kuwasahau wakishirikiana na kina LATRA

Huyu Muslim alikuwa anafanyakazi hadi usiku anajitoa mhanga kutumikia wananchi.

Kazi imefanyika na tutahitaji ifanyike kuzidi hapo ilipo.

Msiridhike ongezeni ubunifu na maono ya kazi mpaka ajali zibaki kuwa historia tu.

Mjini fungeni Video Cameras.
 
Kuna madereva wakifika ile kona ya Bagamoyo msata wanavyoshindana kukimbia,

Dereva anafanya kuilalia gari kwa mwendokasi [emoji848][emoji848]

Hasa kwa mida ile ya asubuhi na mapema!

Imagine!
 
Halafu ijulikane wazi gari ilotoka Wilaya fulani au mkoa fulani muda fulani inatajiwa kufika kituo fulani saa ngapi ?

Na hatimae kufika mkoa fulani saa ngapi ?

Yani kuna mabasi unakuta yamefika Wilaya fulani au mkoa fulani unajiuliza mara hii ? [emoji848][emoji848]
 
Ajali zimeangamiza maisha ya watu, zimeacha watu na ulemavu wa kudumu,

Nguvu kazi imepotezwa,

Wategemezi wameshindwa kuendelea na masomo n.k

Ni kitu kibaya sana ambacho kinaepukika.
 
Back
Top Bottom