imepanda kwa vipi?Imepanda kama Ruble ya Urusi na recession ya Ulaya.
Wifi mwembamba[emoji23][emoji23][emoji23]hii ndoa kati ya traffic na wenye magari kinana ameiparamia kama wifi mwembamba.
hakuna matokeo yoyote ya maana zaidi ya ahueni kama ya kunywa maji anayoiptana mtu aliyefakamia pili pili.