Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Kwanini Unasema Mpunga ni pasua kichwa!
Kwenye kununua, ina hitaji uzoefu sana kwenye kuchagua mpunga mzuri!! Hata ndoo zenyewe za kupimia sio hizo unazojua wewe zipo special za kupimia, ndoo hizo huuzwa hadi laki 2!!!kwa ndoo moja tupu. Ila siku hizi sehemu nyingi wanazishitukia kwani ukipima ndoo saba, kwa kutumia hiyo ukija kupima kwenye ndoo za kawaida unakuta karibia ndoo kumi!!!!
 
Kilimo cha Uyoga; aliyenipa mbegu aliniingiza cha like kumbe simu..... Mwaka wa tano huu natafutwa na polisi
 
Tunaomba mbinu ya kukuza account mimi nina followers kama 5000. na sijui naikuza vipi maana imenichukua mitatu kuwapata hao follower

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…