Kipindi niko first year chuo nlinunua bodaboda mbili aisee io changamoto yake usipime stres tupu madereva pasua kinoma nikapiga chini nikaziuza zote aisee
Ukizingatia mataluma yamekaza. Unapata wapi muda wa kubembeleza mtuHii tupo wengi mno
Hiyo app ya kuangalia statistics inaitwaje mkuuDadekii hivi unaangalia vitu gani mkuu embu npe ujanja maana mpaka apps kama footmob za kuangalia statistics za timu nlkuwa nayo lkni wap
Changamoto sana,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kuna kipindi ulipotea kwa Kanji kulee kumbe ndo tulikuwa kuinvest aisee..Pole mzee kilimo changamoto sana
Mkuu umepotea sana kule kwenye jukwaa letu la mapambano!Changamoto sana,
kimenipotezea muda sana.
Kuuza bange..... Masela wanakopa Sana ... Kijiweni wengiiii wanunuaji wachache mila mmoja kugongea tu cha pusha.
So biashara ya Bodaboda mkuu hata ukipata mtaji leo hufanyi??
Acha tubdereva mpaka atume hesabu ni pasua madereva wana visingizio kibao kijiwen hawakai kwao hawakai yaan ni pasua leo anatuma kesho soundMimi pia ilinishinda bodaboda, niliuza ndani ya mwezi na huyo nliyemuuzia akaiuza naye ndani ya mwezi pasua kichwa sana.
Wewe mimi kabisa hii biashara niliitamani nimenunua boda nikampa dereva mwanzoni hela ya hesabu wanaleta vizuri kati wanabadilika mpaka hela ya hesabu ikifika mimi ndio nimtafute na kumfata kwake jamani hii biashara ina presha mwisho wa siku nikaiuza na boda yenyewe sitaki hata kuisikia mtu aniambie mambo ya kufanya biashara ya boda
DSM mkuuUliziweka mkoa gani
Kwa nini?Mpesa na tigo pesa..Ni stress hatari