Kilimo cha mpunga cha uhakika kipo kwenye scheme kama kapunga vile lakini sasa ni ghali sana faida yake ni ndogo japo kuvuna ni uhakika.Mpunga kuna mwana alipoteza 2M alafu maji hayakutosha aisee hakulamba hata mchele robo[emoji24][emoji24][emoji24]