Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Hahaha kuna cousin wangu aliwekeza kwenye kilimo cha nyanya,alikopa km laki 7 na 80
Ilikuwa wakivuna tenga litauzwa kwa 4,500.

Daah kutahamaki wkt wa mavuno biashara ikuwa hovyo,nyanya kila mahara tenga mia 7
Alijuta na pesa ilikuwa ya mkopo.
 
Hii biashara inaitwa Nyanya Ninyanyue, Nyanya Ninyanyase
Hahaha kuna cousin wangu aliwekeza kwenye kilimo cha nyanya,alikopa km laki 7 na 80
Ilikuwa wakivuna tenga litauzwa kwa 4,500.

Daah kutahamaki wkt wa mavuno biashara ikuwa hovyo,nyanya kila mahara tenga mia 7
Alijuta na pesa ilikuwa ya mkopo
 
Hahaha kuna cousin wangu aliwekeza kwenye kilimo cha nyanya,alikopa km laki 7 na 80
Ilikuwa wakivuna tenga litauzwa kwa 4,500
Daah kutahamaki wkt wa mavuno biashara ikuwa hovyo,nyanya kila mahara tenga mia 7
Alijuta na pesa ilikuwa ya mkopo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Aisee alafu zinaoza faster
 
Jamaa wa Greenhouse watakuuzia vifaa,madawa,mbegu etc ikifika muda wa kutafuta soko la hizo nyanya&mbogamboga nakwambia utazila na familia yako na majirani mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Kilimo noma sana
 
Una roho nyepesi, hufai kuigwa na jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…