moddybrown
Member
- May 2, 2016
- 27
- 25
Rpm ni Kifupisho cha Revolutions per minute of crankshaft yaani ni ule mzunguko wa crankshaft ndani ya sekunde 60
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brevis zinatofautina engine, kuna zenye cc 2000, 2500 hadi 3000.Wastani wa matumiz n kias gan maana mesoma sehen wanasema km11.4 kwa lita..
Brevis km 16 kwa lita haifiki,ni 12 -13km na kwakuwa ni D4 bado ni nzuri sana,mimi nilikuwa na gari cc2500 vvti watu walinitisha inakula mafuta nikagundua ni uzushi tu ilikuwa inakwenda mpaka km 14 kwa lita,mimi nakushauri hiyo gari chukua ni nzuri sana hasa ndani,tamu sana.Chukua tu! mkuu brevis ziko vizuri, kuhusu kuzima sio tatizo, ukiona imezima ujue gari inatatizo but kama home kwako ni rough road la kokoto haitakufaa kwa gari hizi mayai, injini yake iankula mafuta vizuri ki wastani gari ya petrol ndogo inatakiwa ile mafuta litre 1 wastani km 16.
Kitendo cha asubuhi kuiwasha gari kwa dakika 10 kisha ndo uanze kuendesha, inafaa kwa aina zote za magari?Wengi wetu hatuna umakini kwenye kuanzia hatua ya kwa i.e asubuhi unapowasha gari unapaswa usikanyage mafuta bali unapaswa kuwasha na kuacha kama dakika 10 hivi engine ipate moto yenyewe kisha unapotoka huna haja kutoka na mabio yasiyo na umuhimu kujenga heshima na kile chombo chako, na pia huna haja ya kufanya mashindano na mtu barabarani hii yote itapelekea kukosa nidhamu na chombo chako pale unapojaribu kushindana nae, ila kuna mazingira yanaweza kukufanya ukakosa nidhamu ni kwa muda mfupi na pia si mara kwa mara.
Ni gari zote, tena hata pikipiki unatakiwa kuipasha moto kwa kui-switch on na kuiacha ikiunguruma yenyewe kwa muda.Kitendo cha asubuhi kuiwasha gari kwa dakika 10 kisha ndo uanze kuendesha, inafaa kwa aina zote za magari?
8. 5 per lita hyoWastani wa matumiz n kias gan maana mesoma sehen wanasema km11.4 kwa lita..
Shukrani mkuu kwa elimu hii, mtu unaweza kuwa dereva wa miaka mingi lakini usifahamu hili swalaNi gari zote, tena hata pikipiki unatakiwa kuipasha moto kwa kui-switch on na kuiacha ikiunguruma yenyewe kwa muda.
No sio gari zote ni magari flani ya miaka ya nyuma sana yalikuwa na hiyo system,ila gari za miaka ya kuanzia 1990 nyingi ni za kuwasha na kuondoka,mwenye ujuzi na hili atuwekee hapa hii mechanism inafanyaje kazi.Ila ni vizuri kuipa gari nafasi tokea umewasha gari ili oil iweze kuwa imesambaa vizuri then uka takeoff either taratibu au na hiyo mibio yako.Kitendo cha asubuhi kuiwasha gari kwa dakika 10 kisha ndo uanze kuendesha, inafaa kwa aina zote za magari?
Je kwa gari kama hii bado ni hasara?Hata ulete gari nzuri kutoka nchi za mbali lakini kama barabara yako ya kwendea home ndio hizi zenye makorogesheni bado ni hasara tu kwani badala ya kulifurahia unaanza kuliwazia makovu ya mashimo inamopita, wakati mwngine kwenye madimbwi yamaji taka, maana ndio njia za kutufikisha huko uchochoroni tunkoiishi zilivyo, ingekuwa vema mtu kuanza na ujenzi wa barabara ya kuendeshea gari lako la milioni 200. Lakini ndio hivyo tena tarmac kumbe sio vifusi vya bunju du bei ingekuwa chee basi ingetumika kuziba mishimo njia mbovu. Ndio uteleze sasa na ladha ya Brevis aisee
Kitendo cha asubuhi kuiwasha gari kwa dakika 10 kisha ndo uanze kuendesha, inafaa kwa aina zote za magari?
Nimecheka sanautakua umenunua gari hv karibuni