Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kwa ushauriKama una eneo la kuwatunza naona kunenepesha ni nzuri.
Unakuwa tu na lishe ya kutosha na upatikanaji wa majani kwa urahisi.
Kama huna haraka nunua kwa 200k wakikua unauza kwa 700k uvumilie kama miez7 had mwaka
Sure,ntakupa namba iwapo atanikubalia
Karibu mkuu unielimishe japo kidogoMfumo mmbovu kuliko wote ni wa kununua mnadani na kuuza,Na kununua ndama uje uwalee ndiyo uuze nao hovyo kabisa.
Hapo mpango mzima ni kununua ng'ombe wa Maziwa wenye Mimba na kuwauza.Rudi tena nikupe sababu ya hiyo mifumo mibovu.Nishapita kote huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana kwa mawazo yakoKwanini umechagua ngombe na sio kuku, bata au njiwa ?
Nadhani lazima kuna kitu kimekuvutia hadi ukawaza kufanya hili jambo....
Options zote nina uhakika zina pro and cons.., tafuta hizo na jipime kulingana na uhalisia wako, utapata nini cha kufanya
Kwanini umechagua ngombe na sio kuku, bata au njiwa ?
Nadhani lazima kuna kitu kimekuvutia hadi ukawaza kufanya hili jambo....
Options zote nina uhakika zina pro and cons.., tafuta hizo na jipime kulingana na uhalisia wako, utapata nini cha kufanya
AhaaaLabda kaona yule jamaa kadakwa na ARV kwa kunenepesha ng’ombe
Maana watu hupata mawazo kwa matukio, we never know [emoji2957]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Huu ndio ukweli wa hii biashara kawaida faida halisi ikizidi sana ni laki moja, unatakiwa kuwa na mtaji wa ng'ombe walio tayari kuuzwa 100+ ukikusanya hizo 40,50 au 70 kwa 100 ndio utaona faidaNunua ng'ombe,pakia kwenye fuso kauze,nunua mnada huu,uza mnada ule,nunua mnada huohuo ila nje ya mnada,ingiza mnadani kula Cha juu hata hamsini hamsini,
Hivyo ndo wanafanya wanaotaka kupandisha mtaji chap chap,kuliko ufuge usubiri faida miezi mitatu mbele
Mkuu nidokeze kidogo tafadhalikitoto wa vitoto, Mfumo mmbovu kuliko wote ni wa kununua mnadani na kuuza,Na kununua ndama uje uwalee ndiyo uuze nao hovyo kabisa.
Hapo mpango mzima ni kununua ng'ombe wa Maziwa wenye Mimba na kuwauza.Rudi tena nikupe sababu ya hiyo mifumo mibovu.Nishapita kote huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
kitoto wa vitoto, Mfumo mmbovu kuliko wote ni wa kununua mnadani na kuuza,Na kununua ndama uje uwalee ndiyo uuze nao hovyo kabisa.
Hapo mpango mzima ni kununua ng'ombe wa Maziwa wenye Mimba na kuwauza.Rudi tena nikupe sababu ya hiyo mifumo mibovu.Nishapita kote huko.
Sent using Jamii Forums mobile app