Tupeane uzoefu kuhusu Casino

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,041
Reaction score
13,907
Habari za mchana wakuu...
Mm sio mhuni...,Bali nataka nienjoy na kujua baadhi ya vitu ktk ulimwengu wa kisasa huu...

Nimekuwa nikisikia mengi kuhusu Casino na ningependa niende nishuhudie yaliyomo humo...sasa kwa kawaida yangu sipendi niende sehemu na nionekane mshamba au sijui kitu...

Nilipenda nijue nijipange vp ikiwemo kimfuko ili nisijutie uamuzi wangu...napendelea kuanza na hii city casino ya hapa mwanza..
NB;napenda starehe ila si zile za kuniondoa kwenye reli...
Nawasilisha...
 
Hivi unajua kwamba kupenda Casino ni ulevi kama ulevi mwingine?? Unaweza uza mali zako nyingi sana sababu yakupenda kwenda kucheza Casino...Na ukienda kucheza unaliwa,kuna watu wameuza hadi nyumba zao kwa kupenda kwenda kucheza huo mchezo

Wachina wengi sana wamejinyonga sababu ya Casino,so please achana na huo mchezo,ni sawa na madawa yakulevya...

Nenda Casino kama unapesa zakuchezea tu ila sio sisi wenye pesa za mawazo,Mfano Mzee Mengi alikua anacheza sana Casino na demu wake Madam Ritta, Dr Rick pia,sio wewe na mimi,utauza hadi assets zako,keep out of rich children na Casino mkuu
 
MAWAZO UJENZI,
Asante mkuu kwa ushauri....but my ambition ni kupata uelewa au kujua tu mambo yanaendaje humo...,si mcheza kamari mzuri and I'm sure I won't get addicted coz nina mipango mingi tu ya kufanya..
 
Mengi alikua ana cheza kasino
 
Casino ni moja kati ya vitu vyenye vilinipita kushota kabisa, na sijawahi hata kujuwa milango yake inafanana aje...
 
Casino ni moja kati ya vitu vyenye vilinipita kushota kabisa, na sijawahi hata kujuwa milango yake inafanana aje...
Una nafasi bado😀😀...njoo huku jijini twende
 
Mambo ya wazungu mnaleta bongo unafanya kazi unalipwa mil 1 unataka kwenda casino? fanyeni mambo ya msingi kasino ni ya mamilionea ambao ata kama anacheza uku biashara zake anaingiza pesa.
 
Mambo ya wazungu mnaleta bongo unafanya kazi unalipwa mil 1 unataka kwenda casino? fanyeni mambo ya msingi kasino ni ya mamilionea ambao ata kama anacheza uku biashara zake anaingiza pesa.
Kama ya wazungu yanakuja bongo kufanya nn....au nan kasema ni ya matajiri tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…