Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Habari za mchana wakuu...
Mm sio mhuni...,Bali nataka nienjoy na kujua baadhi ya vitu ktk ulimwengu wa kisasa huu...
Nimekuwa nikisikia mengi kuhusu Casino na ningependa niende nishuhudie yaliyomo humo...sasa kwa kawaida yangu sipendi niende sehemu na nionekane mshamba au sijui kitu...
Nilipenda nijue nijipange vp ikiwemo kimfuko ili nisijutie uamuzi wangu...napendelea kuanza na hii city casino ya hapa mwanza..
NB;napenda starehe ila si zile za kuniondoa kwenye reli...
Nawasilisha...