Tupeane uzoefu siku ya kwanza kuja bongo

Tupeane uzoefu siku ya kwanza kuja bongo

muda wote nilikuwa nachungulia dirishani kwa basi (nilikuwa boya kwelikweli)..... but now nimekuzoea napaona pa kawaida sana now dream yangu nikutembelea nchi za wazungu kwa vacation......
 
Dah kwa mar ya kwanza kuj picha linaanzia nikiwa kweny gar kuna jamaa cjui alipndia mlandizi pale bhc akaj kukaa kweny siti nilokaa coz abiria mwenzang nilotokanae mbeya alishukia chalinze bhc baada ya kuona nashangaa shangaa akaanza kunielekeza elekeza,tulipokarbia ubungo akasem ukiona ghorofa zur ujue umefik (LA tanesco ubungo) ,,,,tupo mataa akasem utaiona stend ya mabas afrika masharik na kati hamn stend kubwa na nzur kam iyo,
Picha LA pili nikaend nilikotakiwa kufikia dah niliona kam nipo kweny ka sero kadogo co kwa joto lile, nakumbuka nililala kweny friji cku iyo(joke)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi sawa wewe unaamini hivyo mimi naamini pa kawaida..tufunge mjadala...naenda kumbonji.....

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk

Mkuu hapa naona ulikuwa kwenye mabishano makali na mwanaume wa dar [emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom